#Unitedpeopleofafrika.org
Vision Empowering Africa Together as a United Continent. Mission To unite the people of Africa
🌍
Greetings to all good people of Africa 🌍
We are so grateful for what's...
Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?.
Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe 6...
VIRAL SCOUT MANAGEMENT OFFICIAL STATEMENT
Condemnation of the Tragic Killings of Our Young Talents
Viral Scout Management is heartbroken to announce the devastating loss of seven promising young...
Zubeir Ali Maulid amechaguliwa tena kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa kipindi cha tatu.
Zubeir amechaguliwa leo Alhamisi Novemba 6, 2025 katika mkutano wa kwanza wa Baraza la 11 la...
Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B...
Niliona polisi wakiripoti kuwakamata baadhi ya vijana kuwa walileta fujo siku ya uchaguzi.
Kutokana na yaliyotokea, natoa wito kwa serikali kuwaachia huru vijana hao ili watu wapunguze maumivu
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameshangazwa na ushindi wa asilimia 97 aliopatikana na mgombea wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu...
A call for citizens to mourn a major national tragedy
We, members of different communities in Tanzania, with great sorrow and heavy hearts, acknowledge the tragic events that have occurred in...
Tunamshukuru kwa dhati Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwingi wa Hekima, kwa kutuneemesha amani, utulivu na mafanikio katika uchaguzi uliomalizika hapa Tanzania.
Ni kwa fadhila Zake pekee...
Edwin Soko Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari nchi za Kusini mwa Afrika, akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika Uchaguzi wa Tanzania uliofanyika...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK
Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴...
Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha.
Wewe siyo rais.
Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo.
Hujapigiwa kura na watu milioni 31.
Hujapata 97.6% ya kura...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Tarime/Rorya limethibitisha kifo cha Dafroza Kokwangua Jacob maarufu Mama Frank, aliyefariki baada ya kuugua ghafla akiwa kituoni akiandika maelezo.
Polisi wamesema...
Kwa mauaji yaliyofanyika, napata shida kuamini kuwa kweli Samia alijifungua watoto wake kwa maumivu. Imekuwaje ameamuru mauaji ya kikatili eti kwa sababu ya kacheo. Inasikitisha na kuchanganya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.