The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔
MAY THEY REST WELL!
Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na...
Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida...
Amepotelea wapi huyu?
Nasikia vijana wa Dar mlikuwa na jambo lenu pale nyumbani kwake. Je ni kweli?
Niwapongeze kwa kwenda msalimia na kunywa chai nyumbani kwake.
Alafu nasikia anakaribia...
Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema...
Wakuu,
Nilikuwa nilipitia post ya Museveni akiwa anampongeza Samia kwa kushinda Urais na kupitia hiyo post nimeona Watanzania wametuma salamu mbili tatu hapo
Uzuri wa Watanzania siku hizi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi...
Kusanyiko letu leo hapa, Sio kwajili ya kuwazawadia walio shinda kwenye uchaguzi, Lahasha. Bali ni matakwa ya kikatiba. Ya kukabidhiwa dhamana ya kuwa mtumishi Mkuu wa taifa katika kuleta...
Uchanganuzi wa Kifalsafa, Kihistoria na Pendekezo la Mfumo Mbadala wa Uongozi wa Kiafrika.
SURA YA KWANZA: Asili na Uhalisia wa Demokrasia
1.1 Demokrasia: Dhana ya Kiufanisi au Kiitikadi...
Kwa wanaokumbuka viongozi machawa wa dini walivyohanikiza 'kuombea' taifa na kushindwa kuwaambia ukweli watawala na kilichotokea watakubaliana nami.
Kuomba ni kautapeli fulani kwa matapeli...
Tayari hili janamke nishalitolea taarifa huko ICC.
Nimeambatanisha picha za kawaida pamoja na video za ushahidi wa unyama wake kwa kadri ya kiasi kinachoruhusiwa.
Wewe mdau kama umeumizwa na...
Kuanzia Raisi Samia, IGP, na wakuu wa polisi wa mikoa wajiandae kwa kesi kubwa itakayo kuja huku mahakama ya kimataifa ya Netherlands ni muda tu sasa lakini ushahidi upo wa kutosha
Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji...
Sitakuwa Tena mtandaoni
Hizi video na picha za ndugu zangu ninazoziona uvumilivu umenishinda.
Moyo wangu unavuja damu sana.
Nitarudi hapa siku Samia atakapokuwa kafa au kaachia madaraka...
Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa...
Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru katika kutoa taarifa kwa wananchi wote. Kwa jinsi mwenendo wa hali ulivyokuwa tangu kuanza kwa kampeni mpaka kutokea mauaji ya halaiki kwa raia, vyombo vya...
Watanzania, adui yetu tunamjua.
Tatizo ni kwamba tayari ameshameza mifumo yote ya nchi, vyombo vya dola na mihimili yote viko chini yake.
Juzi Mwenda Pole alitupa kama wake up call, akitaka...
Wasalaam Aleykhum,
Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani
Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya...
Viongozi wa CHADEMA wote walikuwa mahabusu sasa wanahaha kusingizia CHADEMA wakati hata hawakuwepo.
Vijana wamefanya maandamano kutokana na hasira zao. Heche hakuwa hata na simu, Lissu hakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.