Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo...
2 Reactions
7 Replies
444 Views
Huu ndio Ukweli !! Wanaweza wakawa ni wengi au wachache ila lengo lao ni HAKI ZAO TU. Wanapopuuzwa, ndio huamua kudai Haki zao Kwa namna wawezavyo. Baada ya hapo, hutangazwa kua ni Waasi.
1 Reactions
1 Replies
131 Views
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kujali utu na mzalendo kwa nchi yake. Raha ya kuwa mbunge ama diwani katika mazingira haya ya uchaguzi uliojaa damu za watu unaipata wapi? No wonder...
2 Reactions
6 Replies
311 Views
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao...
4 Reactions
3 Replies
246 Views
Kuna mchezo mmoja wa watoto unaitwa 'Who Will Blink First'. Katika mchezo huo watu wawili wanaangaliana na anayekuwa wa kwanza ku 'blink' au kupepesa macho anakuwa ameshindwa. Katika sakata...
14 Reactions
28 Replies
4K Views
Taarifa ya DW swahili iliyosoma na Bakari Ubena wamemtaja Mtoto wa Rais Abdul kama mshauri Mkuu wa Rsis, Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliye nyuma ya Mateso ya Mauaji ya...
6 Reactions
8 Replies
735 Views
Mimi ni muumini mzuri wa Tanzania Kwanza. Nakuomba sana: Fungulia makanisa yote haraka mno. Mwachie polepole wakosoaji wako, waache waongee tu. Hawana madhara kwenye maamuzi yako. Mfano, Dr...
1 Reactions
10 Replies
419 Views
Mwanaisha Isack, ambaye ni mama mzazi wa mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer), ameibuka na kumuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuomba msamaha kwa niaba...
4 Reactions
20 Replies
801 Views
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi. Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au...
2 Reactions
14 Replies
506 Views
Mnakumbuka jinsi TB Joshua alipokuja Tanganyika kumpoza Mzee wa kuzungusha mikono hewani. Baada ya kupigwa tukio
2 Reactions
3 Replies
219 Views
POLISI HAMJATOSHEKA NA DAMU ZAO MNATAKA NA PESA ZAO? Habari mimi naishi Mwanza wilaya ya Nyamagana kata ya Mhandu mtaa sokoni. Ufahamishe umma na majirani zangu ndugu Rafiki wakazi wa Mwanza na...
1 Reactions
18 Replies
745 Views
Mnisamehe kwa title ila ukishansoma vizuri utanielewa. Naamini baadhi yenu mmeshawahi ku negotiate bei ya kitu fulani kutoka kwa wachuuzi wa Kariakoo au sehemu zingine au hata wale wanaouza...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Diwani mteule wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Mzee Shaban, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma pamoja na wenzake kumi, wakikabiliwa na kesi ya ujambazi wa kutumia silaha...
3 Reactions
15 Replies
421 Views
Huyu kaka ni mmoja kati ya Vijana ambao wameshitakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya Uhaini. Hii picha imepigwa wakati anashuka kwenye Karandinga Soma: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii...
1 Reactions
5 Replies
361 Views
Hali ya JMT ni tete. Nchi imejaa matope, giza, hatuelewa mwelekeo wa taifa. Ni nani wakutuunganisha? Ukikaa mwenyewe chumbani unaweza kulia. Mtandaoni ndo usiseme, CCM inataka kufanya nini...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022 Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora...
15 Reactions
94 Replies
8K Views
Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya...
9 Reactions
6 Replies
398 Views
Back
Top Bottom