Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili ndo hitaji la wananchi karibu wote kwa sasa. Mama anaupiga mwingi. Wabunge wajenge hoja na kufanya mabadiliko kidogo ili mama kipenzi cha watanzania Dr Samia Suluhu Hassan aendelee kuongoza...
2 Reactions
33 Replies
926 Views
On 3 February,2001,one week after the Zanzibar Killings,President Mkapa addressed the nation.That address provided some vital clues to the involvement of the American goverment. Apparently,the...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
1. CCM imepata wabunge wangapi kati ya wabunge wote? 2. Watumnasiri sana, kumbe Jerry hakurudi bungeni, kweli power is transient, tuheshimiane, dunia mapito. 3. Kwa ushindi huu mnono, mbona sioni...
1 Reactions
5 Replies
292 Views
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000...
2 Reactions
6 Replies
321 Views
Ina maana timu hizi hazijaona kilichotokea mauaji ya Watanzania yaliyofanywa na polisi katika maandamano ya Oktoba 29 na 30. Ni jambo la kusikitisha kuona Simba na Yanga, timu kubwa zenye...
2 Reactions
21 Replies
616 Views
Hakika nimechukia huyu mtu vibaya sana na hakuna zuri wala jema analoweza fanya likafuta majeraha au uovu wake katika katika kichwa changu na kamwe siwezi kumsamehe..Nimemchukia sana. Pia...
19 Reactions
29 Replies
1K Views
Watoto wenu wanatembelea V8, V6 LC na magari yote ya kifahari. Ni wazi mnapenda kuona watoto wenu wakifurahia. Sisi tumepoteza wapendwa wetu; hata tukiwapa majina ya kashfa na kuwatuhumu...
4 Reactions
12 Replies
336 Views
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama...
13 Reactions
21 Replies
868 Views
Habari wanajamvi.... Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia
7 Reactions
99 Replies
3K Views
Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
3 Reactions
7 Replies
277 Views
https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea...
1 Reactions
2 Replies
247 Views
Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa CCM akiwa LIVE instagram, "Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki, lazima tulinde amani yetu...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29 Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama...
4 Reactions
8 Replies
367 Views
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania. Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika...
1 Reactions
14 Replies
718 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi...
3 Reactions
4 Replies
222 Views
Amani iwe nanyi Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma...
44 Reactions
94 Replies
4K Views
Kura ni kweli alipata. CCM wanaposema Samia amepata kura Milioni 31 hawadanganyi. Kwao kura moja sio lazima ipigwe na mpigakura mmoja. Kama mnavyoona kwenye video mpiga kura mmoja anaweza...
2 Reactions
7 Replies
413 Views
Back
Top Bottom