Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeomboleza tumechoka, Serikali isiendelee kutia aibu kwa jàmbo walilofanya la kuua watu. Wakubali vile vifo, uharibifu na majeruhi ni collateral damage wao walikuwa wanajaribu kudhibiti fujo...
0 Reactions
6 Replies
185 Views
Hapa chini ni muhtasari wa taarifa ya awali (final) ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kutoka SADC (SEOM), uliowasilishwa na Richard Msowoya, Spika wa zamani wa Bunge la Malawi na...
3 Reactions
7 Replies
483 Views
Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za...
2 Reactions
9 Replies
266 Views
Policy Forum inasikitishwa na taarifa za vifo vya wananchi, ukiukwaji wa haki za binadamu na changamoto nyingine za utawala bora zilizojitokeza katika kipindi kilichofuata baada ya Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena! Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa...
7 Reactions
5 Replies
350 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea...
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Ni wangapi waliiangalia sinema ya Sometimes in April? Tuombe sana Mungu na sisi tusije tukaja kutengeneza sinema ya October to remember ..! Na kama ikitokea hivyo basi iwe kwa heri na si kwa...
22 Reactions
121 Replies
3K Views
Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za...
0 Reactions
17 Replies
648 Views
Profesa Anna Tibaijuika ambaye ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Makazi katika Serikali ya awamu ya nne chini ya Dr. Jakaya Kikwete, ametuma salamu za pole kwa Watanzania wote waliofikwa na...
10 Reactions
14 Replies
649 Views
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa...
2 Reactions
4 Replies
277 Views
Ndugu watanzania wenzangu, kwanza nitoe pole kwa watanzania wote kwa yale yaliyotokea. Nikiwa kama mtanzania nina haki ya kuishauri serikali yangu na wananchi wenzangu yafuatayo. (Neno langu sio...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Wanabodi Hii ni taarifa ya Wana Diaspora wa Tanzania nchini Marekani chini ya DICOTA Paskali
2 Reactions
6 Replies
324 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
0 Reactions
53 Replies
2K Views
Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili...
10 Reactions
31 Replies
980 Views
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni kuekuwa na watu wasio wazalendo wa nchi hii wakipiga kelele za kuilalamikia Zanzibar Zanzibari ni kanchi kadogoooo sana, wazanzibari kwa idadi yao ni milioni 2 huku watanganyika...
-2 Reactions
10 Replies
321 Views
Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA Pamoja tusonge mbele #Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba kwa niaba ya chama chake cha Civic United Front, amesikitishwa na matokeo hayo yaliyomtangaza mgombea wa CCM...
2 Reactions
15 Replies
522 Views
Kupitia ukura wa Kusaga Tv ...... "Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Back
Top Bottom