KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha...
Jamani usiku huwa nakosa kabisa usingizi, nawaza juu ya Taifa letu Tanzania (Tanganyika).
Linaangimizwa na mtu mmoja tu! Na mtu huyo ni "
mwanaume"
Alipokuwa big potato ndipo alifanya mamuzi...
Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana.
Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa.
Ni vijana waliolelewa...
Hata afanyeje huyu, dunia itajua tu
=================================
Tanzania imekosolewa kimataifa baada ya upinzani kuishutumu serikali kwa “kutupa kwa siri miili ya waandamanaji” waliouawa...
Hakuna Siri itabaki sirini !!.
Rais wa Ukraine amezionya Nchi za Afrika kuacha kuisupport Nchi ya Urusi Kwa kuipatia Wapiganaji kwani Kwa kufanya hivo ni kutangaza Vita dhidi ya Ukraine !!.
Haya...
Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii...
Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika.
Dira ya Taifa ya...
Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini?
Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi...
Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea.
Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje .
Madai...
Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto
Mawasiliano...
Nikiwa Nasomaa kitabu Cha Baba Wa Maridhiano Afrika
Cha Desmond Tutu (1999). No Future Without Forgiveness. Doubleday Publishing.
Nimejikutaa Na Maswali Mengii mno
Je, taifa linaweza kuwa...
Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa...
Shetani mpya ameingia nchini kwa jina la utekaji, akilea kwa kivuli cha “watu wasiojulikana.” Wakati ushahidi ukionekana wazi, vyombo vya dola hubadilisha simulizi na kusema eti ni ukamataji...
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!
Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa...
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29...
Watu MAMIA KWA MAELFU wameuliwa kwa MAKUSUDI kabisa pasipo chamber ya HURUMA wala UTU
Kibaya zaidi KAULI NA MATENDO yao mpaka dakika hii,hayaonyeshi hata kwa bahati mbaya KUJUTIA kile...
Diaspora wa Watanzania nchini Canada, ambayo inajumuisha moja ya jamii kubwa zaidi ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya Afrika, wameandamana ikiwa ni juhudi za kimataifa za kupigania madai ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.