Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya...
9 Reactions
6 Replies
398 Views
Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025. 1...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Mfanyabiashara Jennifer Jovin (maarufu kama Niffer) na wenzake wamerejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuahirishwa hadi tarehe 11 Novemba 2025, huku baadhi ya watuhumiwa wengine...
2 Reactions
17 Replies
732 Views
Tanzania ya leo imejikuta katika kipindi kigumu cha mabadiliko ya kisiasa na kijamii, ambapo nguvu kubwa za uongozi zipo mikononi mwa rais, ambaye anatajwa kuwa na uwezo wa kuamua mustakabali wa...
4 Reactions
3 Replies
276 Views
Hapo vip!! Kama kuna ukweli juu ya hili basi kutakuwa upunguvu wa watu wenye akili na wanaoweza kufikiri sawa sawa. Kama kuna propaganda zinazoandaliwa eti kwa lengo la kuhusisha kenya au...
3 Reactions
10 Replies
455 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI KIJISAHIHISHE Comrades, tunakabiliwa na sura mpya na yenye mvutano mkubwa katika siasa za Tanzania. Muda mrefu migogoro ya kisiasa ilikuwa kati ya CCM na vyama vya upinzani...
5 Reactions
9 Replies
406 Views
CCM inaongoza hii nchi tokea tupate Uhuru, vijana wa sasa ndio watoto wa wananchi walioiweka CCM madarakani takribani miaka 64, Tarehe 29/10/2025 mmetuua bila makosa na mmeona haitoshi leo...
0 Reactions
8 Replies
293 Views
Watu ndugu waliopoteza wapendwa wao wengine kwenye maadamano na wengine wakitoka kujitafutia kitu cha kuweka tumboni wamepigwa risasi mfano watoto wa Shangazi yangu 😭😭...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, uliowasilishwa kwake na Mhe...
1 Reactions
6 Replies
590 Views
Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam wameeleza kuwa mfumuko wa bei kwa bidhaa mbalimbali nchini pamoja na ukosefu wa huduma na bidhaa muhimu kulikotokana na ghasia na vurugu za Oktoba 29, 2025...
2 Reactions
26 Replies
691 Views
Wanafikiri watu wanaogopa uhaini wanafikiri tutaacha kudai mabadiliko kushtakiwa kwa watanzania makesi ya uongo ni kututia hasira zaidi hatuta kubali Maandamano sio uhaini ni halali kisheria kesi...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
"Hakuna Askari wa Jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wala hata kurushiwa jiwe hakuna, hakuna Mwananchi wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye ameuliwa. Bahati nzuri Hospitali zipo mnaweza mkaenda. hakuna...
5 Reactions
7 Replies
470 Views
Haiwezi kuwa kwa bahati mbaya wala kwa uzembe bali limefanywa kwa makusudi na watu wanaojua wanachokifanya Hutuba ya Rais inaandaliwa, kisha inafanyiwa uchambuzi wa neno kwa neno na kila neno...
4 Reactions
11 Replies
446 Views
KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
0 Reactions
7 Replies
516 Views
Idadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka. Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer). Sasa, Jamhuri...
1 Reactions
14 Replies
557 Views
Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnaulewa! tusipinge kila kitu Lissu alitoa ushauri Samia aendelee wakati wa mchakato wa katiba ili twende kwenye uchaguzi...
2 Reactions
3 Replies
230 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Pope Leo alitoa wito ulimwenguni kwa watu wote kuiombea Tanzania kwa mauaji yaliyofanywa na Rais Samia kwa watanzania Inadaiwa jeshi kutoka...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu...
6 Reactions
27 Replies
907 Views
Back
Top Bottom