GE2025 INEC tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,269
Reaction score
45,845
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
 
kwani mkuu si tume huwa inafanya totalization ya kura zote zilizopigwa toka vituo mbalimbali?

kila kituo kinahesabu kura zinajumlishwa kwa kila jimbo halafu zinatumwa moja kwa moja makao makuu ya tume .

NB.. mtandao ulizimwa na baadhi ya vituo kura ziliharibiwa je muda wakujumuisha hizo kura kila jimbo wakurugenzi wa inec katika majimbo pia waliutoa wapi na mitaa mingi ilikuwa imechafuka na hata wao walikuwa wamejifungia ndani
 
Nyie wajinga mtalishwa mavi ya mitandaoni mpaka lini?
Leo Mange anawalipisha kinyesi, kesho mkojo, keshokutwa DAMU ya hedhi.
Kila kituo kilikuwa na watu wa kuhesabu. Kwani zote zilihesabiwa na mwenyekiti wa INEC?
Mara oooh mtandao ulizimwa walitumaje matokeo. Serikali inaweza kukuzimia mdandao wewe huku mambo yake nyeti yakisonga bila kusita. Kama kwenye gari za doria tu wamegunga mitambo ya mawasiliano isiyotumia mkongo wa Taifa kwanini ushangae hili?
 
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
kwani mkuu si tume huwa inafanya totalization ya kura zote zilizopigwa toka vituo mbalimbali?

kila kituo kinahesabu kura zinajumlishwa kwa kila jimbo halafu zinatumwa moja kwa moja makao makuu ya tume .

NB.. mtandao ulizimwa na baadhi ya vituo kura ziliharibiwa je muda wakujumuisha hizo kura kila jimbo wakurugenzi wa inec katika majimbo pia waliutoa wapi na mitaa mingi ilikuwa imechafuka na hata wao walikuwa wamejifungia ndani..

Hivi unaamini kura zilihesabiwa kweli mi nahisi tume ilishaandaa matokeo miezi 6 kabla walikuwa nayo
😂😂😂ila CCM kiboko aisee
 
Nyie wajinga mtalishwa mavi ya mitandaoni mpaka lini?
Leo Mange anawalipisha kinyesi, kesho mkojo, keshokutwa DAMU ya hedhi.
Kila kituo kilikuwa na watu wa kuhesabu. Kwani zote zilihesabiwa na mwenyekiti wa INEC?
Mara oooh mtandao ulizimwa walitumaje matokeo. Serikali inaweza kukuzimia mdandao wewe huku mambo yake nyeti yakisonga bila kusita. Kama kwenye gari za doria tu wamegunga mitambo ya mawasiliano isiyotumia mkongo wa Taifa kwanini ushangae hili?
acha ujinga wako wewe chawa waliopiga kura nchi nzima hawawezi zidi watu milion 5
 
Hivi unaamini kura zilihesabiwa kweli mi nahisi tume ilishaandaa matokeo miezi 6 kabla walikuwa nayo
Na ndio maana mwezi mmoja kabla ya uchaguzi waliutangazia umma kuwa watatangaza matokeo ndani ya siku 3 yaani tarehe 31 Oktoba.
 
Hii nyumbu hapa inaona imejenga hoja concrete kweli yani, Ccm kweli ni majizi lakini jifunze kujenga hoja, kwahiyo uliambiwa kuwa huwa anahesabu mtu mmoja?

Ndo maana majizi ya Ccm yanawaua sana maana akili zenu huwa mnashikiwa na mtu mmoja hapa hii hoja mmeicopy kila mtu bila kuruhusu akili zenu kufikiria.

Ndo maana mkadanganywa jeshi liko upande wenu na nyie mkaingia mkenge.
 
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076😁😁😁😁
 
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Kwani nyie wafuasi wa bwana tobo mmechanganyikiwa nyie si mlisusia uchaguzi sasa mnawashwa nini si ndyo nyie nyie siku ya uchaguzi mlienda kwenye baadhi ya vituo kuleta vurugu
 
Hii nyumbu hapa inaona imejenga hoja concrete kweli yani, Ccm kweli ni majizi lakini jifunze kujenga hoja, kwahiyo uliambiwa kuwa huwa anahesabu mtu mmoja?

Ndo maana majizi ya Ccm yanawaua sana maana akili zenu huwa mnashikiwa na mtu mmoja hapa hii hoja mmeicopy kila mtu bila kuruhusu akili zenu kufikiria.

Ndo maana mkadanganywa jeshi liko upande wenu na nyie mkaingia mkenge.
Hawa watu wajinga sana .
Wengine hatuko CCM ila kwasababu ya ujinga wao mkuu tumeamua kujitenga nao.
 
Tume yetu ya uchaguzi iko vizuri sana!

Ukichukua kura 31,900,000 zilizopigwa tarehe 29/10/2025
Ukazigawa kwa masaa48 (siku mbili za kuhesabiwa, Tarehe 30/10/2025 na 31/10/2025) Halafu ukazigawa kwa dakika60

31,900,000 ÷ 48 ÷ 60 = 11,076

Kwa dakika1 Tume ilihesabu kura 11,076.
Kuhesabu wala sio issue. Vituo vya kupigia kura vilikuwa 99,911. Kama kura zinahesabiwa kwenye vituo vya kupigia kura, kuhesabu kura 11,076 per minute is a piece of cake. Kazi ni majumuisho (consolidation) yanayopaswa kufanywa na INEC.

Yote kwa yote, kura 31,900,000 is a fake number. Katika historia ya chaguzi za Tanzania, hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%. None—hata zile chaguzi ambazo hazikuwa na tension yoyote!
 
Namna zilivyopatikana kura mil 31
 
Attachments

  • 6226448-104268153aed54a10575aa548fb70997.mp4
    1.1 MB

Kura miliioni 32 zilipatikakana kwa kufanya kwa njia hii ya BODMAS.
20251104_030225.jpg
 
Swali la msingi
Mwenyekiti au msimamizi wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?

9dec..
 
Hii nyumbu hapa inaona imejenga hoja concrete kweli yani, Ccm kweli ni majizi lakini jifunze kujenga hoja, kwahiyo uliambiwa kuwa huwa anahesabu mtu mmoja?

Ndo maana majizi ya Ccm yanawaua sana maana akili zenu huwa mnashikiwa na mtu mmoja hapa hii hoja mmeicopy kila mtu bila kuruhusu akili zenu kufikiria.

Ndo maana mkadanganywa jeshi liko upande wenu na nyie mkaingia mkenge.
1995;
Benjamin W. MKAPA 4 Milioni (61.82%)
Augustine L. MREMA 1.8 Milioni (27.77%)

2000;
Benjamin W. MKAPA 5.8 Milioni (71.74%)
Ibrahim H. LIPUMBA 1.3 Milioni (16.26%)

2005;
Jakaya M. KIKWETE 9.1 Milioni (80.28%)
Ibrahim H. LIPUMBA 1.3 Milioni (11.68%)

2010;
Jakaya M. KIKWETE 5.2 Milioni (62.83%)
Wilbroad P. SLAA 2.2 Milioni (27.05%)

2015;
John P. MAGUFULI 8.8 Milioni (58.46%)
Edward N. LOWASSA 6 Milioni (39.97%)

2020;
John P. MAGUFULI 12.5 Milioni (84.40%)
Tundu A. LISSU 1.9 Milioni (13.04%)

2025;
Samia S. HASSAN 31.9 Milioni (97.66%)
CHAUMMA LAKI MBILI ELFU KUMI (0.60%)
 
Matokeo wametangaza lakini hadi leo waambie waweke hesabu za kituo kimoja baada ya kingine walivyotumia kujumlisha qmmk hawana data

Back
Top Bottom