Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Jamani usiku huwa nakosa kabisa usingizi, nawaza juu ya Taifa letu Tanzania (Tanganyika).
Linaangimizwa na mtu mmoja tu! Na mtu huyo ni "
mwanaume"
Alipokuwa big potato ndipo alifanya mamuzi hayo ya kulingiza na kuliweka Taifa kwenye maagano ya kishetani,umwagaji damu"
Kwanza alianza na potatoes wenzanke , kila potatoa aliliwa kichwa, na akawa marufu sana Dunia nzima, akapewa na vyeo mbali mbali.
Taifa linaangamia kwa sbb ya huyu "Mtu" na mizizi yake ipo kila kona ya Taifa hili. Sekta yoyote unayojua ww yupo .
Tukitaka Taifa letu liwe huru kabisa. Tuanze na huyu.
Ndipo tungoe mizizi yake, matawi, na mashina yake. Bila hivyo, ngumu sana
Mungu wabariki wazalendo waliopoteza maisha kwa ajili ya haki by mwinjilist wenu Gabeji.