Kaandika hivi kupitia mtandao wa X:
"Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha...
Hii ilikuwa Rombo, jana Novemba 8. Vijana walikuwa wakimzika Gen Z mwenzao, aliyeuawa wakati wa maandamano ya kudai haki yao. Wakati wa mazishi, sauti za waombolezaji zilisikika zikisema ‘Wauaji...
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi...
By Time,
Indeed, mankind is in loss,
Except those who believe and do righteous deeds, and encourage one another to truth, and encourage one another to patience.
— [Surah Al-‘Asr 103:1-3]
//...
HAKI ya kwanza na ya muhimu kwa raia yoyote ni haki ya kuishi.
Hakuna mali wala miundombinu wala maendeleo yoyote yanaweza kulinganishwa na uhai wa raia mmoja TU.
Uhai wa mtu hauna mbadala tunao...
Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia...
Kwa yanayoendelea na hasa baada ya kusoma ujumbe wa Yerriko kwenye mtandao wa X, nawashauri mfunge akaunti zenu kwa muda.
Nashauri hivi kwasababu hawa watu wanaweza kuwawekea hela chafu kisha...
Watanzania wenzangu naomba tutumie busara kwenye uwasilishaji wa hisia zetu hususani kwenye maneno tunayoongea.
Ni kweli tumeumbwa tofauti kila mmoja ana namna yake ya mihemuko na hasira lakini...
"Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."- Wakili Tito Magoti akijibu hoja...
Angalia kwenye barabara, kuna kiumbe hakionekani vizuri kinatembea
Isije ikawa wataalam wa ku edit videos na kutumia AI wapo kazini
Kufikia sekunde ya 37, utaona kiumbe kingine kikionekana...
Tanzania dhaifu ni furaha kwa dunia!
Hii ni sababu kuu inayoniogopesha kwamba, itakuwa vigumu (but not impossible) kwa ICC (The Hague), kufungua mashitaka dhidi ya utawala wa Rais Samia Suluhu -...
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama...
Hapo vip!!
Katika nchi za afrika mashariki na Afrika kwa ujumla,sijawahi kuona nchi inayoipenda nyingine kama kenya wanavyoipenda Tanzania na watanzania kwa ujumla.
Nadhani hii nature kati ya...
Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka...
Katika orodha ya watu 10 iliyotolewa na Jeshi la Polisi ikitaja kuwasaka popote walipo ili wakamatwe, Hamphrey Polepole hayumo.
Ukifuatilia alichokuwa anakifanya Polepole ndicho hicho hicho...
Wakuu...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando (Baba Levo) kupitia instagram yake amepost video akiwa nje ya Bunge akionyesha sehemu yake mpya ya kazi.
Unadhani atakuwa mbunge wa aina gani?
Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mlipo!
Poleni kwa wote mliopoteza wapendwa wenu na poleni pia kwa wote mliopoteza mali zenu katika kipindi hiki cha uchaguzi na baada ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.