Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usiku wa kuamkia Leo, "Polisi wanaodaiwa kuvaa kiraia, walivamia nyumbani kwa Mlinzi wa Mhe. Lissu, ndugu Charles Hangaya (huyu niliyemuwekea alama) maeneo ya Bunju A kisha wakaondoka nae mpaka...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Kimsingi, katika kesi ya 'uhaini' inayomkabili Tundu Lissu ni kama imeilemea serikali. Je, mahakama itaendelea kuwa nyumba ndogo ya wauaji au itajikomboa na kutenda haki na haki ikaonekana...
5 Reactions
15 Replies
575 Views
Wakuu, Mnakumbuka ile stori iliyokuwa inatrendi siku kadhaa nyuma kuhusu afisa wa polisi mstaafu aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Tabata. Sasa mkasa mzima huu hapa. Kilichofanyika ni kitendo...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Ikiwa ndivyo mara nyingi zaidi kuliko sivyo, mbinu ya watawala ya kuwafunga au kuwaua viongozi wa upinzani au wanaharakati hushindwa vibaya kwa sababu kadhaa zenye nguvu: 1. Athari ya Hydra (The...
2 Reactions
1 Replies
186 Views
1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1...
0 Reactions
3 Replies
236 Views
Hiyo ni kuanzia na aliyejiapisha hadi aliyeapisha. Ukweli ni kwamba hawa wanaojiita viongozi wetu ni dumbheads tu hakuna kitu vichwani mwao. Yan wao ni full janjajanja, ghilba, wizi, ufisadi na...
3 Reactions
10 Replies
346 Views
Nianze kwa kutoa pole kwetu sisi wananchi kwa yaliyotupata. Tuendelee kuomboleza na kupeana faraja na tukumbuke kuwa, cha pekee tulichonacho sisi wananchi wa Tanzania ni umoja na mshikamano wetu...
15 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, sina maneno mengi,nimefatilia video za kampeni za mgombea urais wa CCM na makamu wake inaonekana kabisa walijipanga Kwa mauji ya watanganyika ili malipo yake yawe maridhiano, walinuia...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Hii ya kutufuata watu ambao hatujatoka majumbani na kutuua inatusikitisha Sana. Tunajiuliza siku nyingine ikitokea tufanyeje? Maana hata tukibaki nyumbani tunajua watatufuata tu hivyo hatutakuwa...
1 Reactions
3 Replies
206 Views
Anaandika Twaha Mwaipaya... "Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Hawa “Watoto” wanaoisumbua CCM na Serikali yake, CCM waliwaandaa wenyewe. Kama vile Mkoloni alivoandaa waafrika kwa nafasi duni za ukarani, mesenja nk akiamini wakiwa na elimu kubwa watamwangusha...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo. Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Tangu Samia CCM na Jakaya Kikwete walikoroge, wamegeuka mabubu na viziwi. Je, hili ndilo jibu au wanakoleza moto wasijue wataumia na kuumiza taifa letu? Tuwasaidieje? Eti Nchimbi anaongelea...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli...
1 Reactions
6 Replies
292 Views
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka...
3 Reactions
23 Replies
857 Views
Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha...
8 Reactions
11 Replies
605 Views
Leo ndo nimeelewa kwa nini Familia ya Nyerere haitaki watumia jina la baba yao ni kwa ujinga kama huu.
5 Reactions
14 Replies
507 Views
Hii ilikuwa Rombo, jana Novemba 8. Vijana walikuwa wakimzika Gen Z mwenzao, aliyeuawa wakati wa maandamano ya kudai haki yao. Wakati wa mazishi, sauti za waombolezaji zilisikika zikisema ‘Wauaji...
3 Reactions
3 Replies
274 Views
Back
Top Bottom