Friends and Our Enemies...
La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa..
Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa...
Lilikuwa ni suala...
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi...
Amnesty Kenya imetoa tamko la kuitaka Tanzania kurudisha mwilj wa mwl wa Kenya aliyeuawa Tanzania pia kuruhusu mawasiliano ya mkenya anayeshikiliwa na polisi Tanzania.
Kwa mwl aliyefariki...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 6 kufuatia kifo cha Rais John...
Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka.
Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao...
Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu...
Jamiiforums,
Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.
Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.
IPO Hivi, ili ushiriki...
Baada ya vurugu zilizojitokeza kufuatia uchaguzi nchini na kupelekea baadhi ya vijana kupoteza maisha, uharibifu wa mali za umma na biashara, taasisi ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF)...
Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa...
Anandika kada wa CHAUMMA yericko nyerere.......................
Kwa maoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma”...
Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia...
1. Maandamano makubwa zaidi
2. Kususia bidhaa na huduma za watu wanaojinasibisha na utawala dhalimu.
3. Kuunganisha nguvu na Kanisa Katoliki ambayo ndiyo taasisi kubwa pekee iliyobaki inayoweza...
Mazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.
Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa...
Mwanaharakati huru, Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kuachana na siasa na kuwataka Watanzania kutafakari upya kuhusu hatima ya taifa lao, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na...
Wanabodi,
Huyu ndiyo RC BORA kuliko wote kwa sasa hapa Tanzania, huyu Mheshimiwa angalau aliweza kukutana na wananchi wake pale Makambako - Mkoa wa NJOMBE na kuwapa neno la faraja wale wote...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Boniface Jacob (Boni Yai) muda mfupi uliopita leo, Jumamosi Novemba 08.2025...
Watu tisa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
Uzoefu unaonyesha CCM ni watu wa kujali sana madaraka, ila kwa haya mauaji, huenda wakajiongeza kwa wabunge baadhi yao kutangaza kujiuzulu huku Tulia akiwa wa kwanza.
Mauaji haya ni wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.