Tovuti hii imeanzishwa na kijana wa mzee kibao ili kusudi kuweka rekodi ya watu wanaozidi kupotea na kutekwa. Kama kuna mtu unamfahamu na ametekwa wasilisha taarifa zake kwa administrator wa...
Nilitegemea sana kuwa leo wataonesha uungwana kwa kitu kidogo tu xha kuofuta kesi hii ya UONGO, FABRICATED. Surprisingly enough wanadiriki kuleta shahidi wa siri wa uongo!
Tenda Bwana Yesu, Tenda...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
Hapo mwanzo wanadamu walipokengeuka sana, Mungu aliweza kuwaadhibu au kwa kuwaletea mtawala mbaya kabisa au hata kuwatia utumwani mwa maadui zao. Mifano ni mingi. Lakini walipojuta na kumrudia...
Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu.
Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka...
Zungu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mbunge wa Jimbo la Ilala na aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 12, Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge...
Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo...
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini...
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?
Watu wameuwawa...
Wabunge wasijidanganye kwenye chaguzi kama hizi wananchi hawataweza kukubali hata kidogo mchakato wa katiba kuendeshwa na bunge hili fake.
Ni bora tusipotezeane muda na vijana wetu sasa sio...
Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono.
Ghasia haikuwa shida...
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja...
Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum.
Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa...
Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma...
Kanisa Katoliki lafanya misa takatifu kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu, wasisitiza hakuna amani bila haki
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus...
Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 12, 2025 likiendelea leo kwa shughuli kuu ya kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge...
Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio.
Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana...
Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa...
Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza...
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.