Ni njema wana Jay Efu?
Kuna jambo la ajabu sana katika ulimwengu wa viongozi makatili. Wamejaa hofu ya kifo, lakini hawasiti kuua wengine. Wanachukia kifo kwao wenyewe, ila wanakipenda kifo cha...
Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda.
Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo...
1. Hakuna maridhiano bila katiba mpya na uchaguzi mpya wa Rais, wabunge na madiwani kurudiwa.
2. Viongozi wote wenye kesi za kisiasa waachiwe huru.
3. Wananchi tusiwape ushirikiano viongozi wote...
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje?
Je, watanzania...
Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali
Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani
Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki
Tanzania haina amani wala haki
Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika...
Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake.
Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao...
10 November 2025
Mahakama ya Wilaya
Ilemela, Mwanza
Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=EK5udu5ot38
Jumla ya watu 114 wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilemela
Mwanza: Jumla ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza...
AMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo...
Watanzania tupo kwenye msiba hatujalala tutapumzika week nne tutarudi kudai nchi yetu #D9.
Mauwaji yaliyofanyika sio vitisho bali uchizi na kuchochea moto zaidi.
Watanzania wamefumbuliwa macho. Keki ya taifa inaliwa na falimia kama kumi ambazo inasadikika Kikwete ndio kiongozi wao.
Utekaji umeacha manug'uniko na doa kubwa.
Mauaji ya juzi yatasababisha...
Kabla ya maandamano tulisikia tetesi za wanajeshi wa Uganda kuingizwa nchini kwa lengo la kusaidia kutuliza maandano wakisaidiwa na kontena la silaha ambazo zimeingia nchini kwa msaada wa Abdul...
Katika mitandao ya Kijamii ikiwemo Instagram baadhi ya watu wameanza kuikanusha iliyokuwa account ya X ya Abdul, kwa kuandika vitu sawa mfano ni ZUNGU na Middle Simba wamekopi na kupesti.
Je ni...
Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa...
Habari za wakati huu?
Kimsingi kichwa cha mada yangu kinaweza kikawaudhi wengi hasa ambao wamekufa,wamejeruhiwa au kuharibikiwa na mali katika matukio yaliyojiri tangu Tarehe 29 October.Poleni...
Kwa mara ya kwanza watanzania wengi walimjua Jesca Magufuri kupitia mahojiano na Milard Ayo, sasa wameanza kumuona majukwaani na bilashaka anapata shangwe kama lote jambo ambalo ni faraja kwa...
Kama tutakosa taifa lenye kizazi Cha watu wenye uadilifu Nini hatima ya Taifa letu ?
Watawafundishaje kushindana bila kumuua mpinzni wako kimasomo kibiashara na kimaisha ?
Mzazi anafurahi kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.