Waanze kuweka mabango ya kumsifia tena, niliwahi kusema kuwa mabango ya Samia kipindi kile hayakua na impact yoyote ila na sasa pia hayana na hayatakaa yawe![]()
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Kusema kweli haya mapicha yanakera sana hapa mtaano. Waje tu wayaondoe aisee.![]()
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
mkitaka wayatoe ongezeni maandishi makubwa MUUAJI![]()