Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena...
Wakili Maduhu Williams kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) amewaeleza Jumla ya watuhumiwa 641 wamefikishwa mahakamni kwa kesi za uhaini, unyang'anyi wa kutumia silaha na...
Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu...
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Semistocles Kaijage ambaye amemaliza...
"Kilichotokea Oktoba ni funzo kwetu na matatizo ya muda mrefu ambayo yanahitaji hatua za dharura, za kati na za muda mrefu kuzitatua kwa sababu unapokuwa katika taifa ambalo linakuwa na Sonona...
Jana Mbunge wa Ilala Mh. Zungu aliijia juu wizara ya ardhi kwa kutaka kupoka eneo lote la jangwani magomeni kuwa la shughuli za michezo na mapumziko kwani wananchi walivamia eneo hilo la wazi...
Wakuu hivi mnafahamu maumivu ya kuibiwa? Mnafahamu maumivu ya kuibiwa mtaji uliokopa bank au kwenye kikoba?
Mnafahamu maumivu ya kukuta duka lako la nguo limebomolewa na hakuna nguo hata moja...
Mkuu Chipukizi ameweka kwenye thread nyingine link yenye habari muhimu na sensitive sana ambazo bado hazijadhibitishwa kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya hapa nchini, lakini naona kama...
Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasiia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Novemba 12, 2025 baada ya kuisha kusikilizwa kwa kesi ya Uhaini ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu...
Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, uliofanyika Oktoba, ulilenga kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Licha ya maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi na...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na...
Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya...
Hapo vip!
Kuna kizazi hiki kinaitwa Generation- millennia (Y),hiki ni kizazi kilicho zaliwa 1981-1996,wanasema wameitwa hivyo kwasababu ni kizazibkilichozaliwa katika nyakati za...
Watanzania wamehimizwa kuvumiliana, kudumisha umoja na kuijenga nchi kwa pamoja, wakitakiwa pia kupuuza uvumi mbalimbali unaoelezwa kwenye Mitandao ya Kijamii kwamba Askari Polisi na Maafisa wa...
Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania!
https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president
Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
Baada ya October 29 Vyama vyote vimeshuka zaidi Chadema pekee imebaki juu.
CCM sasa wanajulikana kwa mabaya uchawa na kudanganya sasa kuko wazi. Vyama vingine vyote kwa kushiriki uchaguzi ambao...
Viongozi wa vyama vya siasa mkoani Tanga wamewataka wananchi kuendelea kudumisha utulivu na amani waliyoonyesha wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Viongozi hao wamesema hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.