Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sisi Wawakilishi 14 kutoka Chama cha ACT Wazalendo - 10 wa Majimbo na wanne wa viti maalumu vya wanawake - tulilitafakari tukio la uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi...
0 Reactions
8 Replies
395 Views
Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa...
2 Reactions
7 Replies
323 Views
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika...
0 Reactions
9 Replies
534 Views
Mwanasharia mkuu wa Serikali Johari, amesema hivi karibuni kwamba atahakikisha anamrejesha Mange Kimambi nyumbani Tanzania kutoka huko Marekani ili akajibu Mashitaka yanayomkabiri ikiwemo Uhaini...
17 Reactions
94 Replies
3K Views
Mwananchi mmoja aliyepigwa risasi tumboni wakati wa maandamano amesema kuwa "Wamedhamilia kutuua wanatupiga Risasi za moto, Risasi hii hapa ninayo"
3 Reactions
1 Replies
287 Views
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano. Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu...
0 Reactions
44 Replies
1K Views
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League...
0 Reactions
6 Replies
444 Views
Taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Spika 1.0 Zoezi la Uteuzi wa Wagombea wa Uchaguzi wa Spika limekamilika tarehe 10 Novemba, 2025 saa 10:00 Alasiri...
0 Reactions
6 Replies
383 Views
Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya...
0 Reactions
4 Replies
255 Views
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Badala ya kusikiliza ushauri kiburi cha ajabu cha huyu Mama kimetufikisha hapa. Halafu machawa bado wanataka kumtetea badala ya kujali taifa!!!
5 Reactions
8 Replies
408 Views
Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu . Hasira ya Wananchi Iko juu sana. Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti . Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
9 Reactions
33 Replies
998 Views
Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
Huyu jamaa vituko vyake visivyo vya maana kabisa! Sijuwi atazingumza nini huko Bungeni. Bila shaka anamtambia Bw Zitto Kabwe! Nasubiri kuona ! =============== Mbunge mteule wa wananchi wa Kigoma...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao chake cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichofanyika Oktoba 7...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Kauli aliyoitoa leo Samia Oktoba 21, 2025 pale Kinondoni yakusema Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura, naona imewapa viburi zaidi...
3 Reactions
16 Replies
570 Views
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye...
3 Reactions
12 Replies
777 Views
Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetuma salamu za pole kwa familia na jamii kwa ujumla ambazo zimepoteza wapendwa wao kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Kupitia taarifa...
6 Reactions
15 Replies
551 Views
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World...
7 Reactions
146 Replies
13K Views
Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa...
0 Reactions
39 Replies
571 Views
Back
Top Bottom