Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Ni muda kidogo sikuwasikia hawa jamaa wa CHAUMMA hadi nikawa najiuliza wameamua kula mafao baada ya kukifanya walichokifanya baada ya kuhamia huko, ila kumbe walikuwa likizo bhana. John...
0 Reactions
10 Replies
453 Views
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
“Tulibebeshwa miili ya marehemu waliopigwa risasi… hali hii imetuathiri kisaikolojia, tusaidiwe.” Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025 umeripotiwa kuambatana na matukio mengi ambayo kwa raia...
0 Reactions
3 Replies
291 Views
Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kwa Samia regime, baada ya umoja wa ulaya kukata misaada Sasa ni zamu ya Australia. Senetor Scarr ameleta pendekezo la kukata misaada yote ya Australia Kwa...
20 Reactions
40 Replies
1K Views
Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani. Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana...
11 Reactions
58 Replies
2K Views
AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na...
0 Reactions
3 Replies
229 Views
GTs, Napenda kuzungumza na Dkt Mwigulu kupitia jukwaa hili. Sitaki kumuita Waziri Mkuu kwa sababu mpaka sasa uhalali wa serikali ya Dkt Samia kikatiba haupo na yeye anajua kabisa alichokifanya...
4 Reactions
9 Replies
343 Views
Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?
2 Reactions
3 Replies
269 Views
Kuna mchezo tunaletewa kana kwamba hatuna elimu vichwani: Yaani Walioua ndugu zetu sasa wanajiita viongozi. Mwigulu kaanza hadithi za kutohesabu waliokufa, wakati waliokufa siku zote tunaletwa...
5 Reactions
3 Replies
247 Views
Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano. Watu waliwaona na kutambua Maiti za...
9 Reactions
6 Replies
358 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Benno Malisa, amewataka wananchi wa mkoa huo kutojihusisha na maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya kijamii kwa tarehe 9 Desemba, na badala yake kuitumia siku hiyo...
1 Reactions
18 Replies
684 Views
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza. Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa. Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika...
6 Reactions
8 Replies
281 Views
Kama kicha kilivyo kichwa cha habari tunaomba sana sana waongezewe mishahara wale polisi waliokuwa front line siku ile tarehe 29 Oktoba, Tena na wapande cheo , ushauri wangu tuitishe haramabee ya...
1 Reactions
17 Replies
430 Views
Suala la polisi kuua watu hadharani na hawachukuliwi hatua ni viashiria vya kudharau sheria za nchi yoyote anayedharau sheria za nchi hatutamuacha. Wanaua wanapindua serikali hawawajibishwi sisi...
3 Reactions
5 Replies
215 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo wa mapingamizi yaliyowekwa na Katibu Mkuu na Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA katika kesi ya madai namba...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Yes. Hilo ni bonge la boko ametoa PM. Boko la 2 ni kukataa kubeba accountability ya kilichotokea na kinachoenda kutokea D9. Kosa la 3 ni kuendelea kutumia mbinu ya cheap propaganda kuzuia tatizo...
2 Reactions
6 Replies
205 Views
Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa...
51 Reactions
187 Replies
7K Views
Back
Top Bottom