WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze...
Wakuu,
Kuna onyo hapa kutoka Ubalozi wa Marekani Tanzania.
Kwenye taarifa yao ya hivi karibuni wamesema maandamano yaliyopangaa kufanyika Disemba 9 huenda yakawahi yakaanza Disemba 5
Kwa hivyo...
Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi...
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa...
Mkutano mkuu wa CCM ukiongozwa na Ndugu Samia umefanyikia kwenye mahema na sio Ikulu wala kwenye Ofisi za Chama
Kama nilivyowaambia ndugu zangu huu utawala unakaribia kusambaratika kabisa, hakuna...
Ford Foundation ni moja ya Taasisi inayotajwa na watawala kuwa imefadhili maandamano.
Maandamano sio kosa la kisheria kwenye nchi zote zinazojali utawala Bora ni haramu Kwa madikteta na viongozi...
JE WAJUA?Kuzimwa kwa mtandao ni kizuizi cha haki za msingi za wananchi na uhuru wa kupata taarifa.Vifungu vya Kitaifa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
✅Ibara ya 18 – haki ya kutafuta...
Wanaolipwa kuua raia ni jeshi la polisi na wanatekeleza hilo kwa faida ya wezi wa mali za umma ambao wengi wao wana uraia wa nchi mbili
Wao wakishaua watabaki hapa hapa lakini wenza wao...
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia...
"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano...
Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga.
"Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana...
Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'.
Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo.
Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi.
Vijana wa...
Ndugu Watanzania,
Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na...
Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu...
ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na...
Ndugu zangu,
Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta...
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani
Kelele zilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.