Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics...
31 Reactions
210 Replies
26K Views
Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo. Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya...
33 Reactions
63 Replies
2K Views
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe...
8 Reactions
122 Replies
4K Views
Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe...
46 Reactions
83 Replies
3K Views
Wazazi kaeni na watoto wenu muwaase juu ya athari za vurugu nchini. Muwaambue kwa uwazi kabisa kuwa hakuna anayetaka vurugu, hakuna anayetaka Mali yake iharibiwe kwa uzembe wa kimalezi wa mzazi...
4 Reactions
81 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
  • Featured
Kuna kauli moja imeibuka baada ya kilichotokea kipindi cha uchaguzi: “Tutalinda amani kwa gharama yoyote.” Imeanza kutumika kama wito wa wajibu wa kitaifa wa kuhakikisha nchi haianguki kwenye...
15 Reactions
22 Replies
2K Views
Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Askofu popote ulipo naamini uko salama Sisi Watanzania tunasubiri uje utoe ushauri wako wa mwisho kabla ya kufika Dec 9 kama ulivyo fanya kabla ya tarehe 29 October Watakao puuzia ushauri wako...
3 Reactions
5 Replies
294 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa...
1 Reactions
3 Replies
325 Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa...
3 Reactions
8 Replies
473 Views
Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
6 Reactions
11 Replies
432 Views
Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora. Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea...
0 Reactions
3 Replies
154 Views
Ikiwezekana balozi zote za Tanzania huko ulaya zifungwe na mabalozi wote wafurushwe na kurudishwa Tanzania. Viongozi wote waliopo kwenye serikali hii wasikanyage nchi yoyote ya ulaya. Mmarekani...
6 Reactions
15 Replies
445 Views
Ukimsikia mwana CCM yeyote akikwambia kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya halina mamlaka ya kutujadili au kutuambiwa chochote muangalie tu kwa kumsikitikia alafu mwambie kuwa, Bila Umoja wa Ulaya na Nchi...
39 Reactions
146 Replies
6K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Hata soni hana. Angalia na sikiliza video hii 👇👇
2 Reactions
7 Replies
265 Views
Tunaanza . Mali🇲🇱. August 18 2020 na 24 may 2021(counter Coup) Chad🇹🇩. April 2021 Guinea🇬🇳. September 5 2021. Sudan🇵🇸.25 October 2021. Burkina Faso🇧🇫.23 January 2022 na September 30 2022(counter...
3 Reactions
9 Replies
382 Views
"Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa...
1 Reactions
3 Replies
260 Views
Back
Top Bottom