Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu...
Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na...
Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia
Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa,
Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU .
Yaan ni mpaka wamkamate MTU A...
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia...
Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi.
Magufuli alipoingia...
Nimepata taarifa mahala kuwa kesho atahutubia taifa akiwa anazungumza na wazee wa Dar es salaam.
Kesho akiri hadharani kuwa ufisadi na upendeleo wa familia za makada wa CCM wanaojulikana ni...
"Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati...
Naomba hatua za haraka zichukuliwe kuokoa nchi kama kuwamaliza wauaji na wahuni(wanajulikana na kuleta haki na siasa safi.
Mi ninavyojuaga existence ya nchi inalindwa hata kwa kuwatoa wahuni...
Wananchi kwa pamoja wakiongozwa na vijana wa Gen Z wanazidi kuchapisha mitandaoni mabango ya D9. Shindano hilo linazidi kukua na kuongeza chachu ya kufanyaka kwa maandamano ya pili siku hiyo...
Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli?
Butiku je?
Warioba je?
Peter msigwa je?😂😋🤣?
Yule mjaruo Koko, Wenje je?
Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano...
Vijana mmekuwa kama dekio mnatumika na watu bila kujijua. Kundi fulani lenye nguvu kiasi likianza leo kudai mgao wa maji safi nanyi vijana mnaingia kwenye madai ya maji safi, kesho likibadili gia...
Hakuna ubishi. Desemba 9 inakaribia. Wote tunajua kitakachotokea ingawa wengine wanajiridhisha kuwa hakuna kitakachotokea.
Mie ni mwanafunzi siku zote. Wakati wengi wakiwazodoa Gen Z kuwa...
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini...
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema;
WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali.
Kuna “vita” imeanzishwa...
Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka ili kuepusha nchi kuingia kwenye matatizo makubwa yanayoweza kuathiri amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.