Tofauti na TEC na CCT ambao wote kwa nyakati zote wanapokuwa na jambo la jumuiya huzungumzia 'WANANCHI' Tafsiri ya watu wote
Wa imani zote
Wa Kaliba zote
Wa mutazamo yote
Wa jinsia zote nk...
Maandiko matakatifu kutoka Kwa YESU mwenyewe alionya kuhusu siku za mwisho, YESU akasema "Yoyote atakayeipenda Nafasi yake ataangamia, Na yeyote atakayeitoa Nafasi yake Kwa ajili yangu ataurithi...
Utamaduni wa Tume kufanya kazi kwa siri haufai, hasa ikiwa inafanya kazi kuichunguza serikali
Tume ya Jaji Chande kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hadi November 3 , 2025 inapaswa kuwa wazi...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika...
𝗥𝗖 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗨𝗝𝗨𝗠𝗕𝗘 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 (𝗜𝗣𝗨)
▪️Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha
▪️Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria
▪️Rais Dkt. Samia apendekezwa kuwa...
Gen- Z wa Uganda wanapaswa kuandamana siku ya kura kumtoa M7
Tunapaswa kuwasapoti Waganda ndugu zangu!!.
Huu utamaduni wa October 29 ulikua nzuri sana na hofu kuu kwa madikteta.
Ushauri kwa Gen...
Naendelea KUSISITIZA tatizo ni uwezo wa mtu sio udini . Miaka minne ilitosha kabisa aondoke akakae na Mumewe na wajukuu zake akifurahia pensesheni ya urais Kwa Kodi zetu
.
HUtuna chuki naye kama...
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an...
Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza.
1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye...
Kanisa Katoliki lina uzoefu wa miaka 2025 kupambana na watawala wakorofi wasiopenda haki. Mnachopaswa kuelewa wafuasi wa Kanisa la askofu Gwajima ni kwamba hamtashinda vita vyenu na watawala kwa...
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !
Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako...
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.
Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.
Rais Samia hatua...
Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana...
Wakazi wa Kata ya Ihahi, Wilaya ya Mbarali, wameishukuru Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa hatua ya kujenga miundombinu ya Umwagiliaji ikiwemo mifereji kupitisha maji...
Haya mambo ya Women first ndo sababu ya Samia Suluhu kutufokea.
Walisema tuwawezeshe. Lakini baada ya kuwawezesha wametugeuka. Wanatubananga na kutubalagaza.
Ni wakati wa wanaume kujitambua na...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu Baba Levo aagiza Halmashauri kuacha kuanzisha kodi mpya kwani “Zinawaumiza Wananchi” bali watengeneze vyanzo vipya vya mapato ambapo...
Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala.
Ukisusa JKT, mfumo unacheka.
Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni...
1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii
2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali
3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za...
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao?
Wasalaam Wakuu!
Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.