Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa...
5 Reactions
8 Replies
347 Views
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba...
28 Reactions
57 Replies
1K Views
=============================== Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema; "....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini...
25 Reactions
27 Replies
1K Views
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Salaam! Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu. Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana. Move background ni...
8 Reactions
16 Replies
840 Views
Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za dawa za kulevya...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba...
10 Reactions
151 Replies
4K Views
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa...
5 Reactions
17 Replies
598 Views
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu. Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Nguvu yake ilianza from the grassroots (wananchi). Alikuwa ni mtu wa watu. Hakupenda mtu aonewe bila sababu yoyote. Ndiyo maana pamoja na kuwanyali mabeberu, aliweza kutoboa katika uongozi wake...
2 Reactions
2 Replies
136 Views
Ni wazi sasa Tanzania tumeshaamua kufuata upepo wa mashariki kibiashara na kisiasa. Niko nchi fulani ya Asia nakutana na wachina wengi sana aisee wanaipenda sana Tanzania kuja kuwekeza hata hawana...
1 Reactions
11 Replies
260 Views
Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
3 Reactions
14 Replies
460 Views
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia...
43 Reactions
85 Replies
3K Views
CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa. Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Huo ndio ufipisho wa hotuba ya leo, amesema yuko tayari kufanya tena alichofanya tarehe 29 kama mtarudia tena. Total darkness.
34 Reactions
69 Replies
2K Views
Kutoka kwa Fergus Kell wa Chatham House Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba yameibadilisha Tanzania. Ukandamizaji wa waandamanaji uliofanywa na vyombo vya usalama — licha ya serikali kukataa —...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Je Risasi gani itazuia Uhai na Uzima wa milele baada ya YESU KRISTO kurudi na kutufufua ??. YESU ni HAKI ,YESU ni Kweli ,YESU asema , aipendaye Nafasi yake ataipoteza , na Yeyote atakayetoa...
4 Reactions
19 Replies
431 Views
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni...
57 Reactions
148 Replies
4K Views
Back
Top Bottom