Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang'era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji cha Gwitiryo Sirari likieleza kuwa...
Kesi ya Uhujumu Uchumi namba 000021172 ya mwaka 2025, inayomkabili Mwanaharakati Mange Kimambi imeahirishwa mpaka Januari 28, 2026 baada ya upande wa serikali kuieleza mahakama kuwa upelelezi wa...
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo...
Mange account yake inaweza kurejea baada ya masaa 24 instagram hii nikutokana na kauli za hasira na matusi alizochapisha.
Aidha bado unaweza kumfuatilia Twitter, tiktok na kwenye mitandao mengine...
Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya...
Zamani wananchi tulijua kwamba majambazi, wauaji, waporaji ni vikundi vya kihalifu vya watu binafsi hivyo wananchi hatukua na wasiwasi sababu ilikua rahisi kukabiliana navyo kwa kwa namna...
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za...
Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea.
Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na...
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
Pia Soma:
Baraza la Maaskofu...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;
"Meta...
Na. M. M. Mwanakijiji
Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan...
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na...
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.
WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni...
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani.
Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa...
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha...
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,
Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na...
Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine.
Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu...
Tanzania huenda ikaanza kufikiria kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma unaoiunda Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Mjadala huu umechochewa zaidi na wito uliotolewa hivi karibuni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.