Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi. Amesema wananchi...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
“Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
0 Reactions
7 Replies
395 Views
HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Who are you uwafungie wapinzani ndani angali wewe unafanya kampeni? Who are you ufanye uchaguzi mbovu na kuwalazimisha watu wakubali matokeo? Who are you uuwe vijana wetu na uwalaumu wazazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange. Manage hupendelea kusema "... Mafy...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba...
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Mkuu haramu wa serikali ameonesha NIA, DHAMIRA na SABABU za kuitumia serikali kupambana na raia. UWEZO anaoutumia ni kodi za hao hao anaopambana nao. Kibaya zaidi ni kwamba anasaidiwa na raia...
4 Reactions
6 Replies
268 Views
Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya Mbaruk Mwalimu na Billy Miya wakiongelea mambo yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania.
3 Reactions
7 Replies
386 Views
Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi...
12 Reactions
33 Replies
860 Views
Hawa jamaa nimewaita wanachooni badala ya wanazuoni kwa sababu wana akili mbovu kama inzi. Wamefundishwa kuchamba chamba kiasi kwamba kila wakiongea inakuwa kama wanajambajamba kwa midomo...
5 Reactions
14 Replies
420 Views
Kukubali kushindwa ni hatua moja ya kuwa mshindi wa kweli. Ni njia ya kujifunza, kukua, na kuona mambo ambayo zamani hukuweza kuyaona. Katika nchi hii, hakuna chama kikubwa na chenye historia...
2 Reactions
1 Replies
207 Views
MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala...
36 Reactions
55 Replies
4K Views
Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu...
4 Reactions
3 Replies
352 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro limesema linafuatilia taarifa za kutoweka kwa Mtawa aliyetambulika kwa jina la Silianus Korongo (49) mkazi wa mtaa na Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, ambaye...
0 Reactions
13 Replies
465 Views
  • Featured
Kampuni ya Itel East Africa Limited ilijiandikisha rasmi tarehe 15 Februari 2013, ingawa inadai kuwa imekuwa ikifanya kazi tangu mwaka 2010. Kampuni hii, ambayo ofisi zake ziko Dar es Salaam...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi? Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo...
21 Reactions
58 Replies
2K Views
Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe...
4 Reactions
3 Replies
202 Views
Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Back
Top Bottom