Mbowe leo hapa Mbeya mjini watu wanataka kusikia alipo Ben saanane?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !

Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako binafsi Ben saanane aliyepotea na hajulikani alipo na tangu apotee hujasikika kokote ukisema alipo Ben saanane.

Kuna voice note iliwahi kuletwa hapa ya Antony Komu na saidi Kubenea wakisema Ben alijifanya mkubwa kuliko wakubwa zake lakini pia Kubenea aliwahi kusema Ben saanane yupo kwenye vijiwe vya kahawa anajificha kutafuta kiki ila mpaka leo bado kimya

Haiwezekani msaidizi wako apotee wewe usiwe na lolote unalolijua zaidi ya kusema mabaya ya wengine as if wewe ni msafi sana

Karibu Mbeya mjini

Kwahiyo PhD fake aliyokuwa anahoji Saa8 ni ya Mbowe?
 
JF-Expert member (USSR),,Kumbe bado zuzu, kupotea kwa mtanzania au mtu yeyote ndani ya nchi yetu ni POLICE CASE, kabla ya kuelekeza hili swali police kwa uoga wako umelielekeza kwenye soft landing, IGP nani alimpiga risasi Mr.Lissu, wapi akina Saanane,Azory, Mawazo etc etc, IGP vile viroba vya maiti pale CoCo beach vilikuwa ni akina nani?,IGP leta hapa honestly report kuhusu kupigwa risasi kwa Akwilina, wapi foresinc pathology report, wapi ballistic test ya bullets residue kwenye mwili wa Akwilina, IGP pls tendea haki hizi familia ili zipate closure kuhusu wapendwa wao, Mh.Mbowe sio cop wa kujibia maswali kuhusu kuuliwa/kupotea kwa watanzania
 
Makonda na kikundi cha WASIOJULIKANA kwa kutekeleza amri ya Magufuli ndiyo walimteka, wakamtesa na Kisha walimuua na kimtupa baharini
 
JF-Expert member (USSR),,Kumbe bado zuzu, kupotea kwa mtanzania au mtu yeyote ndani ya nchi yetu ni POLICE CASE, kabla ya kuelekeza hili swali police kwa uoga wako umelielekeza kwenye soft landing, IGP nani alimpiga risasi Mr.Lissu, wapi akina Saanane,Azory, Mawazo etc etc, IGP vile viroba vya maiti pale CoCo beach vilikuwa ni akina nani?,IGP leta hapa honestly report kuhusu kupigwa risasi kwa Akwilina, wapi foresinc pathology report, wapi ballistic test ya bullets residue kwenye mwili wa Akwilina, IGP pls tendea haki hizi familia ili zipate closure kuhusu wapendwa wao, Mh.Mbowe sio cop wa kujibia maswali kuhusu kuuliwa/kupotea kwa watanzania
Lini mbowe alikwenda kuwauliza polisi wamefikia wapi n upelelezi?

USSR
 
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !

Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako binafsi Ben saanane aliyepotea na hajulikani alipo na tangu apotee hujasikika kokote ukisema alipo Ben saanane.

Kuna voice note iliwahi kuletwa hapa ya Antony Komu na saidi Kubenea wakisema Ben alijifanya mkubwa kuliko wakubwa zake lakini pia Kubenea aliwahi kusema Ben saanane yupo kwenye vijiwe vya kahawa anajificha kutafuta kiki ila mpaka leo bado kimya

Haiwezekani msaidizi wako apotee wewe usiwe na lolote unalolijua zaidi ya kusema mabaya ya wengine as if wewe ni msafi sana

Karibu Mbeya mjini

USSR
Watu malaya malaya kama wewe lazima wahoji kimalaya malaya huku wakiwaremburia mabwana zao!

Haya tufahamishe Mbowe ndiye IGP?
 
Jamaa kapoteza sana wenzake!! Ndo maana anaificha laana kupitia Pombe. Leo Mbeya mjini watajionea kituko
 
Watu malaya malaya kama wewe lazima wahoji kimalaya malaya huku wakiwaremburia mabwana zao!

Haya tufahamishe Mbowe ndiye IGP?
Ukitaka kumjua mwanaCHADEMA Soma matusi yake!! Lazima sisi wana Mbeya atwambie alimtupa wapi Saanane
 
Nyie wazalendo uchwara ipo cku mtatajana tu ngoja tume inakuja ya kuchunguza uovu wenu!!!
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !

Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako binafsi Ben saanane aliyepotea na hajulikani alipo na tangu apotee hujasikika kokote ukisema alipo Ben saanane.

Kuna voice note iliwahi kuletwa hapa ya Antony Komu na saidi Kubenea wakisema Ben alijifanya mkubwa kuliko wakubwa zake lakini pia Kubenea aliwahi kusema Ben saanane yupo kwenye vijiwe vya kahawa anajificha kutafuta kiki ila mpaka leo bado kimya

Haiwezekani msaidizi wako apotee wewe usiwe na lolote unalolijua zaidi ya kusema mabaya ya wengine as if wewe ni msafi sana

Karibu Mbeya mjini

USSR
 
Ukitaka kumjua mwanaCHADEMA Soma matusi yake!! Lazima sisi wana Mbeya atwambie alimtupa wapi Saanane
Kamwe wana Mbeya hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho kama wewe. Kama una uwezo kamuulize shetani Magufuli vingevyo kamuulize IGP akupe majibu.
 
Akiobgea ukweli kuwa Magufuli ndio alimuua Ben Saanane kisa kuhoji PhD yake feki, nyie nyie misukule ya jiwe mnakuja kulia kuwa anamsema mpenzi wenu wakati keshakufa
 
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !

Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako binafsi Ben saanane aliyepotea na hajulikani alipo na tangu apotee hujasikika kokote ukisema alipo Ben saanane.

Kuna voice note iliwahi kuletwa hapa ya Antony Komu na saidi Kubenea wakisema Ben alijifanya mkubwa kuliko wakubwa zake lakini pia Kubenea aliwahi kusema Ben saanane yupo kwenye vijiwe vya kahawa anajificha kutafuta kiki ila mpaka leo bado kimya

Haiwezekani msaidizi wako apotee wewe usiwe na lolote unalolijua zaidi ya kusema mabaya ya wengine as if wewe ni msafi sana

Karibu Mbeya mjini

USSR
Rejea aandishi la Ben Saanane hapa jamvini juu ya utata wa PhD ya Magufuli kwanza
 
Mbowe karibu sana Mbeya mjini ujisikie nyumbani kabisa ila hapa Mbeya mjini swali la msingi kuhusu watu kupotea na kuuawa kipindi cha Magufuli ni moja tu !

Wapi alipo aliyekuwa msaidizi wako binafsi Ben saanane aliyepotea na hajulikani alipo na tangu apotee hujasikika kokote ukisema alipo Ben saanane.

Kuna voice note iliwahi kuletwa hapa ya Antony Komu na saidi Kubenea wakisema Ben alijifanya mkubwa kuliko wakubwa zake lakini pia Kubenea aliwahi kusema Ben saanane yupo kwenye vijiwe vya kahawa anajificha kutafuta kiki ila mpaka leo bado kimya

Haiwezekani msaidizi wako apotee wewe usiwe na lolote unalolijua zaidi ya kusema mabaya ya wengine as if wewe ni msafi sana

Karibu Mbeya mjini

USSR
20230225_143400.jpg
 
JF-Expert member (USSR),,Kumbe bado zuzu, kupotea kwa mtanzania au mtu yeyote ndani ya nchi yetu ni POLICE CASE, kabla ya kuelekeza hili swali police kwa uoga wako umelielekeza kwenye soft landing, IGP nani alimpiga risasi Mr.Lissu, wapi akina Saanane,Azory, Mawazo etc etc, IGP vile viroba vya maiti pale CoCo beach vilikuwa ni akina nani?,IGP leta hapa honestly report kuhusu kupigwa risasi kwa Akwilina, wapi foresinc pathology report, wapi ballistic test ya bullets residue kwenye mwili wa Akwilina, IGP pls tendea haki hizi familia ili zipate closure kuhusu wapendwa wao, Mh.Mbowe sio cop wa kujibia maswali kuhusu kuuliwa/kupotea kwa watanzania
Kuna baadhi ya post hazistahili kabisa kuwepo hai mpaka muda huu
CC: Moderator
 
Back
Top Bottom