PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
 
Yani Gwajima kawa Kanisa? Acha kuridhihaki Kanisa lofa wewe.
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Ulikua pro-iran, ghafla ukaanza kumpinga samia kuwa dini hairuhusu kuwa kiongozi,leo hivi..ni mwanasiasa wa upinzani au id ni ya taasisi?
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi

Ukiona Utawala wowote ule upo kwenye Vita ya kugombana na Viongozi wa dini ambao wanaheshimika na walio Waadilifu, basi tambua ya kwamba Utawala huo upo mwishoni Sana mwa tamati ya enzi zake na kukaribia kuanguka na kufutika katika uso wa dunia
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Amina unachosema ni kweli hakuna alie Ingia vita na watumishi wa Mungu akashinda mpeni muda samia wapo walio watakatifu duniani maombi yao ni Moja kwa moja kwenye kiti cha enzi
 
Farao wa Misri alipompinga Musa na kuwakandamiza Waisraeli, Mungu alimtuma Musa kuwaokoa. Mwisho wake, Misri ilipata mapigo kumi na Farao akapoteza jeshi lake katika Bahari ya Shamu (Kutoka 7-14).
  • Nebukadneza wa Babeli alipotaka kujitukuza juu ya Mungu, alinyenyekeshwa hadi akakubali kuwa 'Mungu aliye juu ndiye anayemtawala mwanadamu' (Danieli 4).
  • Herode alipojiona kuwa kama Mungu, akakulaumiwa na watu wa Mungu, Mungu alimwangusha (Matendo 12:21-23).
  • Katika Ufunuo wa Yohana, mataifa yanayompinga Mungu huangamizwa kwa moto, mapigo, au hukumu kutoka kwa Mungu (Ufunuo 19-20).
2. Usimguse mpakwa mafuta wangu, wala usiwatendee mabaya manabii wangu.” — Zaburi 105:15
 
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda.

Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda.

Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa

Watanzania wenzangu huu ni wakati wa uamsho mkubwa, ni wakati wa kusema na Mungu na kuchukua hatua, tunapoelekea nchi yetu inaelekea mwelekeo mbaya zaidi
Itoshe kusema wanasiasa nchi imewashinda tunaomba jeshi lifanye mapinduzi kisha wanasiasa wakae benchi miezi 6 au mwaka,
Kisha utengenezaji wa katiba mpya ufanyike ndipo utawala wa kiraia urejee baadaye.
 
Back
Top Bottom