Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha inalinda afya, maisha ya watu na mazingira kwa kutoa kipaumbele katika...
0 Reactions
5 Replies
247 Views
Habarini za Jioni Ndugu wana JF. Kwa pamoja wote tunao litakia mema taifa letu tuungane kukataa vurugu zisizo na tija kwa maslahi ya wachache wanaotumiwa kuliharibu taifa letu tulilolirithi...
1 Reactions
3 Replies
215 Views
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi...
18 Reactions
43 Replies
1K Views
Kawaweka ma-'Rear Admiral' (ulisha waona lakini?); majenerali anaowaamini yeye kwenye sehemu za jeshi akilenga kumbana kikaragosi alichokiweka kama maonyesho kwenye nafasi ya juu ya jeshi, na hapo...
7 Reactions
11 Replies
343 Views
Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na...
1 Reactions
3 Replies
247 Views
https://www.youtube.com/watch?v=vUGWECEQsx4
0 Reactions
3 Replies
260 Views
Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli. Nina madai ya rufaa...
3 Reactions
9 Replies
397 Views
Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi na jumuiya ya kimataifa kuhusu hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima intaneti intaneti siku ya uchaguzi Oktoba...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya, alipoambiwa kuwa karibu serikali ya nchi jirani ya Misri ingeangushwa na waandamanaji, ajibu "kumbuka hii ni Libya." Omar Bashir dhalimu wa zamani wa...
1 Reactions
5 Replies
350 Views
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea...
6 Reactions
10 Replies
350 Views
Mama ana mengi ya kusema kuhusu nchi yetu na viongozi wa serikali hii. Msikilize hapa chini: https://youtu.be/z7VCFPIZqJk
0 Reactions
0 Replies
126 Views
“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane...
8 Reactions
20 Replies
780 Views
David Misime: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda maisha ya watu na mali zao sambamba na kuhakikisha hali ya...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
kauli ya msemaji wa Jeshi DCP David Misime kuhusu mbinu ya waandamanaji juu ya matumizi ya silaha za moto dhidi ya jeshi hilo inaashiria dhahiri zitatembea njugu za kutosha. Na utata zaidi...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe. Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi? Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa? Kwa hiyo...
6 Reactions
36 Replies
671 Views
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa...
3 Reactions
13 Replies
755 Views
Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, ...
2 Reactions
15 Replies
517 Views
Back
Top Bottom