Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msimfiche najua hata yeye anajua hili. Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao. Mimi...
12 Reactions
14 Replies
434 Views
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Great Thinkers, Umofia kwenu! Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka...
2 Reactions
7 Replies
228 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma Serikali ilikuwa ikipambana kuzuia maandamano ya baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani. Polisi wake walikuwa na kazi ya kuvamia venue wanazokutaniana wanasiasa kufanya shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Hakuna asiyenunulika Kuelekea D9 pigo lingine Dada wa Taifa amekula ban
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha . Yule Maza anapaswa kukutana na mkono...
4 Reactions
6 Replies
344 Views
Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha. Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa...
9 Reactions
12 Replies
489 Views
https://www.youtube.com/watch?v=YUlE6kPKWyg
1 Reactions
0 Replies
128 Views
GTs, 1. Changamoto za mikakati ya Gen Z Wanapanga kwenda maeneo yasiyo na athari ya moja kwa moja, mfano: Ikulu ya Dar es Salaam wakati Ikulu rasmi iko Dodoma. Airport ambako hakuna impact ya...
6 Reactions
24 Replies
652 Views
Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya...
3 Reactions
12 Replies
617 Views
“Matokeo ya Tume hii ya Uchunguzi yatasaidia hata mjadala mpana wa kuridhiana, kwa sababu kuridhiana ni mchakato na ni hatua kwa hatua kuna mambo tunaridhiana kwa sasa kuna mambo yanasubiri...
0 Reactions
3 Replies
207 Views
Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
4 Reactions
37 Replies
969 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hatuna Budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa katika Ujenzi wa Taifa letu. Ni lazima tukumbuke Maneno ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyotumbia kuwa Hatuna...
-2 Reactions
28 Replies
573 Views
Wakuu, Tupate mawaidha kutoka kwa Sheikh Pemba akirejea hotuba ya Rais Samia katika Mkutano na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyia Desemba 2, 2025 alipozungumzia Tanzania kama Sovereign...
5 Reactions
36 Replies
875 Views
Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee. Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee. Kipi hasa utishe watu...
8 Reactions
32 Replies
834 Views
Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa...
7 Reactions
21 Replies
867 Views
Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
GTs, Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura...
26 Reactions
32 Replies
904 Views
Back
Top Bottom