UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
COMMONWEALTH is watching YOU
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU...
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia...
Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize.
Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama...
Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12)...
Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe...
Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki.
Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu-
itawaendesha kama mizigo.
Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele.
Hayo ndiyo mmeanza...
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.
Ila ukweli ni kwamba wakileta...
Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29.
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana...
Mtu wa nje/jirani hawezi kujua ugumu unaopitia bali wewe mwenye nyumba ndio muhusika
Najua watu wengi wanatamani sunctions na international organizations kufanya jambo. Ni jambo zuri na la kheri...
familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu...
Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na...
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye...
Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X;
Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania.
Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA...
Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema...
Samia: "Zanzibar 2001 kulitokea mauaji kama haya hapa Tanganyika, hakuna jipya...."
Samia: "Nguvu iliyotumika 29/10 na siku zilizofuata ilikuwa ni lazima itumike. Nyie mlitaka tutumie nguvu...
Anasema:
1. Ni mwaka mmoja sasa, hakuna ripoti yoyote juu mauaji ya kikatili ya baba yao yaliyofanywa na Polisi Wasiojulikana, waliomshusha kwenye bus wakaenda kumtesa na kisha kumuua kikatili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.