Ehee, sikilizeni sasa, enyi wana wa ardhi hii.
Mmekaa kimya sana kama mifupa ya kaburini, mkisubiri siku ya kufufuliwa bila hata kujua mlizikwa lini.
Ngoja niwaambie siri moja ambayo imefichwa...
Jumuiya ya Mabondia Tanzania imetoa kauli na kusisitiza kuwa tarehe 9 Desemba watailinda nchi dhidi ya “maharamia na wapuuzi wachache watakojitokeza kufanya maandamano wakisema wapo tayari...
Wananchi wanataka mabadiliko na wamechoka kukosa haki.
Kwa taarifa mnazowapa tokea tarehee 29 wamekuwa wakitumia nguvu nyingi na pesa nyingi ambazo waoneshe nchi hipo salama.
D9 ijafika ila...
Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau...
Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa...
Kupitia kurasa za Mitandao Instagram na X (zamani twitter) za Mwanzilishi wa Kampuni ya 'nala' Benjamin Fernandes amehoji;
"Kwa nini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura Milioni...
Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia.
Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
Kuna hatari naiona ya kuongozwa na Rais asiyependwa na wananchi wake.
Kama Wanachama wa chama chake mwenyewe hawamkubali na baadhi wamekwenda mahakamani kupinga uteuzi wake, sisi wananchi ni...
Nimeshangaa na kusikitika sana.
Yaani vijana wanatamka bila woga. Kwamba Samia na Kikwete na genge lao wanafisadi nchi na kujitajirisha. Kibaya zaidi wanasema Samia na Kikwete haombi msamaha kwa...
Kuelewa Addiction ni vigumu kwa watanzania kama Makonda, kwasababu wengi wenu hamjasomea Psychology Ya watumiaji madawa na sababu zao za kutumia.
Msomi wa Addiciton Dr. Gabor Mate, anasema sababu...
Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua...
Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji.
Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza...
Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar
CCM heshimuni basi wananchi kidogo
Mnafanya mambo kishabiki mno.
Mnawapa...
Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za...
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?
Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli...
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
COMMONWEALTH is watching YOU
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU...
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.