Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai...
5 Reactions
2 Replies
357 Views
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao...
34 Reactions
133 Replies
6K Views
Halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma inajivunia soko la kisasa jipya, standi kuu mpya na ukimbi mpya wa mikutano mpya
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿 Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja...
22 Reactions
81 Replies
3K Views
Tatizo lilianza siku alipoidharau Katiba ya nchi kwa kuiita kwa maneno yake mwenyewe kuwa 'kijitabu'. Na kuna siku atashitakiwa kwa kuikashifu Katiba ya nchi. Namna pekee ya kupona ni kwa yeye...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists.
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi! Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula...
7 Reactions
7 Replies
267 Views
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za...
10 Reactions
85 Replies
3K Views
wa sasa ni kama tuko na taifa lililoshindwa " Failed state", 1. kimataifa tumechafua image, ndani hakueleweki, 2. vyombo vya ulizi vina fanya vinavyotaka, 3. Viongozi wanakula kwa urefu kwa...
0 Reactions
2 Replies
184 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema Serikali ya Tanzania ina wajibu na nafasi ya kikatiba kulinda maisha ya wananchi wake na mali zao, hasa wakati wa matukio yenye viashiria...
0 Reactions
3 Replies
253 Views
JAJI MASAJU AKEMEA VITENDO VYA KUIKASHIFU MAHAKAMA, "NANI ANASEMA MAHAKAMA HAIKO HURU" Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju hii leo Disemba 05, 2025 ameonya kuwa tabia ya kuisema vibaya Mahakama...
3 Reactions
11 Replies
502 Views
Najua mna akili za kuvukia barabara tu. Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini? Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia...
13 Reactions
37 Replies
1K Views
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
4 Reactions
25 Replies
811 Views
Siku za hivi karibuni watu wengi hasa wenye mlengo unaokinzani na serikali katika mambo mengi wametokea kumpuuza sana Zitto Kabwe Yess, wana haki hiyo kwasababu ya alivyofahamika na alivyo kwa...
2 Reactions
10 Replies
490 Views
GT Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass. Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni...
1 Reactions
7 Replies
237 Views
Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Hao Mlokaa kupanga namna ya Kumuua Kitima wamo waroman. Huko Tanesco pia Wamo Waromani. Funga Domo lako kubwa Kaa kimya, Jiandae Dec 9 Unatembelewa !!!.
4 Reactions
8 Replies
235 Views
Neno raisi mtarajiwa ni neno ambalo mara nyingi humaanisha mtu ambae kwa walo wengi wategemea yeye ndie awe raisi hivi karibuni, hata kama bado hajaapishwa au kuchukua majukumu ya kiofisi. Hiki si...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom