Hivi huyu Maza anatuchukuliaje Watanganyika aisee?

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,959
Reaction score
3,172
Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha .

Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves

Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu

Yaani anaamini vipi na wale waliyouliwa wakiwa kwenye makazi yao tena wakiwa ndani kwao?

Eti yaliyopita sindwele tena kwa kubana pua , seriously?

Yaani kirahisi tu ?

Ooh! No
Kukubali huu upuuzi nikujitukanisha kama Taifa.

D9 mapema sana .
 
Who are you mkuu
 
Muibukie kwake si unakufahamu.
 
Huyu mama ni chukizo hadi kwa Mungu
 
Za ndani Inasemekana alipiga unywaji ndiyo maana uoga wote ukamtoka akahisi kama anaongea na watoto wake pale jukwaani.
 
Back
Top Bottom