Meta wafuta account ya Mange Kimambi ya Instagram

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,884
Reaction score
39,914
Hakuna asiyenunulika
Kuelekea D9 pigo lingine
Dada wa Taifa amekula ban
1764777726337.jpg
 
Habari ndio hiyo... Mange na Maria accounts zao za Insta zenye ufuasi mwingi zapigwa pini.

Inaonekana hili ni pigo kubwa na la kwanza kwa wanaharakati hawa. Hakika serikali ina mkono mrefu. Kwa maana hiyo maandamano ya D9 yamesha fail.

Usicheze na Serikali
 
We kwel chokoh
 
Serikali hii ni batili haikuchaguliwa na wananchi!
Ingekuwa inapendwa na raia wake wala isingekuwa inahangaika na hao akina mange....upuuzi mtupu!!.
 
Habari ndio hiyo... Mange na Maria accounts zao za Insta zenye ufuasi mwingi zapigwa pini.

Inaonekana hili ni pigo kubwa na la kwanza kwa wanaharakati hawa. Hakika serikali ina mkono mrefu. Kwa maana hiyo maandamano ya D9 yamesha fail.

Usicheze na Serikali
Akili za chawa zinachekesha sana....Serikali ipi unayoongea ewe chawa mwandamizi?
 
Back
Top Bottom