Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Lahoma Sue Smith Chips For Sex Lahoma Sue Smith trades chips for sex favors – Lahoma Sue Smith is an Oklahoma City woman who has just pleaded guilty after agreeing to have sex with...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
People rights against torture in Tanzania. I just make research on this matter. My hypothesis are firstly the government of Tanzania does not protect peoples rights against torture despite of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana , Naomba niiweke hii kitu hapa,ikiwa itabainika kwamba ni udaku basi naomba mods kwa ridhaa yangu waiweke kwenye udaku. Kama wiki hii iliyopita nilisikia kwenye kipindi cha asubuihi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
When the 'Wind of Change' was starting to further blow through Africa, the Congress of the People met in Kliptown, South Africa. People from all shades and walks of life assembled hoping in that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jela ya Winson Green iliyopo katika mji wa Birmingham. Sunday, June 21, 2009 7:58 AM Wafungwa wa kiislamu katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika thread moja iliyofungwa hivi karibuni, kumetokea discussion nzuri na nzito juu ya the law of defamation. Kwa sababu hiyo thread imefungwa, ningependa tuje tuzungumzie hii sheria hapa, na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WanaJF natafuta mwanasheria anisaidie kudai haki zangu kwa mwajili, tafadhali aniPM nimpe ufafanuzi, na namna ya kulipana. Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Bilal Abdul-Aziz Prime Minister Mizengo Pinda yesterday informed the National Assembly that new legislation on separating business and politics, as directed by President Jakaya Kikwete will be...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sam Lawino & Moses Akena Gulu Police detectives and residents of Gulu District were on Friday treated to drama when the district state attorney attempted in vain to chew and swallow money he had...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye nchi za wenzetu, it is true that a person is innocent until proven guilty, kwenye nchi zetu it is the opposite. Ni lini tutafika? Kwa nchi kama marekani mtu hawezi kukamatwa akawekwa ndani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kwenye tuta, Mimi nimekuwa katika ajira na mwajiri wangu mpya yapata mwaka sasa. Katika mkataba wa ajira, tulikubaliana mambo kadha wa kadha (mbali na mshahara), ni pamoja na marupurupu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
comrades mmeona news ya leo usiku channel 10? kuna mtanzania mwenzangu alingolewa jino na unprofessional mwenzetu ambaye ni m tz miezi mingi iliyopita, kilichotokea ndugu amevumilia pain kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UPANDE wa utetezi katika kesi ya wizi wa Sh1.8 bilioni kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) inayomkabili Rajabu Maranda na ndugu yake, Farijala Hussein, umedai kuwa washtakiwa hao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nchi ya Kenya imepitisha sheria ya kutokutoa sauti au kupiga kelele isiyozidi umbali wa 30km, itakayoanza kutumika baada ya miezi sita ijayo. Mpaka sasa makonda wa matatu, wenye kumbi za disko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake? Dondoo at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi. je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Salaam kwa Wanasheria wa JF, Naomba kupata ufafanuzi wa Jambo hili. Nilikuwa ufukweni Coco Beach saa 1 jioni,tukaona dada anakuja anahema anasema vibaka wanajidai maaskari wanataka kunishika...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Waziri wa sheria akiri kasoro katika katika kesi za madai Na Exuper Kachenje WAZIRI wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kuondoa utaratibu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali inaanda rasimu ya sheria ya kudhitibi umuliki wa vyombo vya habari. Katika mapendekezo ya awali ya sheria hii yanalenga kuzuia mtu (au taasisi?) mmoja kutomiliki zaidi ya chombo kimoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wabunge waache kuendekeza vitendo vya uvunjaji wa sheria Na Mhariri 29th May 2009 Jana vyombo kadha vya habari, viliripoti habari zikiwanukuu baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Fedha na Uchumi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa habari wayakataa mapendekezo ya sera mpya ya habari Tanzania WADAU wa sekta ya habari nchini jana walikataa mapendekezo ya sera mpya ya habari na kuunda kamati itakayokusanya maoni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom