Natafuta Sheria za Kazi

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,250
Sheria za kumwajiri mtu,kibarua, mshahara na kadhalika zinaweza kupatikana wapi?
Thank you.
 
Kama uko dar pita pale azam kuna duka linauza doc zote za serikali nahiyo pia utaipata....bei ni poa maana ni ya serikali design ila sidhani kwenye mtandao kama ipo.
 
Sheria zote zipo kwenye mtandao.

Unachofanya ni kutumia Google. Formula ni name_of_the_act site: parliament.go.tz

Na kukujibu swali lako naomba ujionee mwenyewe. Ingiza the following in Google:

labour relations act site: parliament.go.tz
 
Cheki jukwaa la sheria kuna pdf uko ya sheria za kazi..download then ur good to go
 
Ahsante wazee, naomba kuuliza mambo ya minimum wage yako specified wapi? Au kwenye Act ipi ya parliament?
 
Back
Top Bottom