Law School -DUCE imefungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law School -DUCE imefungwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Msanii, May 15, 2009.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimepata taarifa rasmi kutoka kwa source yangu ndani ya LST kampasi ya DUCE kusitishwa kwa masomo pale kampasi ya DUCE kutokana na mgomo ulioanza wiki mbili zilizopita. Taarifa zinasema kwamba chuo kimesitisha masomo mpaka itakapotangazwa vinginevyo na BODI. kama kuna mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa....

  Ninafuatilia news ili niwaletee taarifa zaidi.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Msanii,
  DUCE siyo Law School. DUCE= Dar es Salaam University College of Education.
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hebu cheki vizuri hapo

  umenisoma shekhe?
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  OK,
  Samahani mimi siyo shekhe bali ni mtumishi wa BWANA YESU.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  niwie radhi shekhe.. ops!
  ah unajua kiswahili bana matata sana ila nashukuru kukufahamu kiongozi wangu wa kiroho.
  Yesu asifiwe sana
   
 6. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watu wa LAW SCHOOL watumia DUCE na wengine wako Mlimani. Ni kweli kimefungwa confirmed.
   
Loading...