Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
Mahakama ya Rufaa leo imemwondoa jaji Mtamwa kulisikiliza suala la madai ya wastaafu wa Afrika mashariki kwa kile ambacho kiliitwa ni kukosea katika maamuzi ya kukubalina na hoja za serikali...
Mahakama yakerwa kesi kuahirishwa mara kwa mara
Wednesday, 15 December 2010 20:34
James Magai na Hussein Kauli
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar...
OCAMPO HITS THE LOWEST NOTES ON KENYAN VIOLENCE…
You may be familiar with the Kenyan violence unleashed on innocent blood following the announcement of the controversial verdict of...
Wakuu mkiangalia hii video mnaweza kucheka lakini inaonesha kuwa ni kitu really si cha kuchekesha. Kuna dalili kuwa hali hii inaweza kuja Tanzania.
(Shocking Video) Sudanese Police Man Whipping...
Wakili ataka Mtendaji wa Kobil kufungwa
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 13th December 2010 @ 23:50
WAKILI Jerome Msemwa amefungua hati ya dharura Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi dhidi ya...
Kuna wafanyabiashara ambao wana ungana na professionals (accountants, engineers, IT etc) na kufungua kampuni. In such cases wafanyabiashara hao wanatoa mtaji during start-up na wanawa allocate...
Swali/ Hoja hii imejniia baada ya kufatilia Julian Asange wa wikileaks kuhusu taarifa za siri mabalozi wa USA walizokuwa wakiwasilisha kwa serikali yao .
Kuna mtu aliiba au kufanikiwa...
Miaka mitatu iliyopita nilikutanisha kampuni mbili tofauti na wakakubaliana kufanya investment. Wakati project ikiendelea kampuni hizi zika form partnership na ikasajiliwa. Shares ziligawanywa...