Wanataka kunizulumu shares zangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanataka kunizulumu shares zangu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by BLUE BALAA, Dec 10, 2010.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Miaka mitatu iliyopita nilikutanisha kampuni mbili tofauti na wakakubaliana kufanya investment. Wakati project ikiendelea kampuni hizi zika form partnership na ikasajiliwa. Shares ziligawanywa kama ifuatavyo.

  1. Kampuni A shares 45%
  2. Kampuni B shares 45%

  shares zilizobaki 10% wakanipa mimi. na ikawekwa clause kweye partnership deed inayosema " THA FOR THE PURPOSES OF THIS PARTNERHIP, BOTH PARTNERS ACKNOWLEDGE THAT MR SHETANI ONE HAS 10% SHARES" baada ya hapo partnership deed ikasajiliwa, main partners na advocate aliye draw wakatia sign na kuweka seal. Kila mtu akabaki na copy yake.

  Main partners waliendelea kuweka pesa na sasa project imekwisha. Sasa main partners wamekaa wenyewe na kuamua kwamba mimi nitolewe na nilipwe pesa kama compesation ya introduction niliyofanya. Wakafikia uamuzi kwamba mimi si shareholder tena na nikatumiwa tu e-mail kwamba I am no longer the share holder.

  1. Wamesha andika barua kwa suppliers kwamba mimi s share holder
  2. Wamebadilisha funguo za ofisi
  3. Wame ni disable kwenye e-mail
  4. Sihusishwi kwenye share holders meeting

  Naombeni wanasheria mlioko JF mnieleweshe cha kufanya, je nina uwezo wa kupinga maamuzi ya main partners?

  Asanteni sana..
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wewe hukuwa ni signatory wa hayo makubaliano?
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  tathmini thamani ya mtaji wa kampuni hata ya kukadiria itumie kudai haki yako ya asilimia kumi......je unayo nakala ya mkataba?
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Kama huna nakala ya mktaba wasiliana na BRELA wakupe hata kumbukumbu zilizoko kule ili zikusaidie...................You need solid evidence to nail these daylight thieves......................
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ninayo nakala ya mkataba ambayo imetiwa sign na main partners pamoja na seal zao zipo na imekuwa certified na Advocate. Bado project haijawa evaluated.
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Its true in that deed my signature is not appearing thought its a registered partnership and I also have a certied copy.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  nimeona kesi kama hiyo kwenye guardian jeneral mboma na wenzake wanataka kumdhulumu mwenzao!anayeweza ai post hilo tangazo la hallmark attorney!
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nikisha tathmini nawatumia wao? Je kama mimi bado nataka kuendelea ku retain shares zangu inakuwaje? Wanaweza tu amua kwamba niondoke bila ya kuwa na resolution ambayo hata mimi naiafiki?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana ni muhimu sana kusoma fine print hata kama ni tedious kiasi gani. More than likely everything was spelled out there......
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Sijazisoma Memorandum & Articles of Association......................kikawaida.........................majority share holders wanao uwezo wa kukuondoa kama wakitaka kufanya hivyo bali wapaswa kuwa na kitu kiitwacho..........Extra Ordinary resolution.........................

  Hata hivyo wanapaswa kukulipa mtaji wa kampuni kulingana na hisa zako za wakakti ule..........................kwa vile mtaji huo haupo wazi yabidi ufanye uchunguzi wa kina na kupata vielelezo ambavyo utavitumia mahakamani.............nionavyo hilo swala mwisho wake litaamuliwa na mahakama tu.....................
   
 11. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Madau pole sana,maana ata mimi yaliwai kunikuta na tukafikishana mpaka commercial court pale kivukoni,jamaa walikuwa smart ile mbaya wakawa wanacheza na majaji na. Ma lawyer.Lakini kwa kua hii ni Bongo na mimi nikawaonyesha kuwa nimezaliwa manzese kwa mfuga mbwa.Nilipata changu case iliamriwa nje ya mahakama nikamalizana nao.
  So wewe inabidi uwe smart na ucheki short cut way ya kupata haki yako.Wenzako mpaka wamekufanyia hayo maana yake wameshajipanga na wapo tayari kukukabili.Utaenda mahakamani mpaka kesi inakwisha akaunti za kampuni husika azina pesa....itakuwa imekula kwako.Brela wanakuwa just mashahidi at court of the law,awana jinsi nyingine ya kukusaidia zaidi ya hilo.pole sana maana kama nnakuona vile utakavyosumbuka kudai,but jipe Moyo MUNGU anae chukia dhuruma atakusaidia na utashinda
   
Loading...