Jaji mkuu kuapisha mawakili zaidi ya mia tatu tisini tarehe 17/12/2010

Mushobozi

JF-Expert Member
Aug 20, 2007
543
101
Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom