Saljiv
Member
- Feb 19, 2009
- 16
- 7
Kuna wafanyabiashara ambao wana ungana na professionals (accountants, engineers, IT etc) na kufungua kampuni. In such cases wafanyabiashara hao wanatoa mtaji during start-up na wanawa allocate certain amount of shares (during start up) hawo professionals. However, zimetokea cases whereby baada ya muda (wakati biashara zinaenda vizuri) wafanyabiashara hao wanawageuka hawo professional na kuwaambia kuwa since hawakutoa mtaji basi hawana haki ya kuwa share holders, hence, kama wanataka waendele kuwa waajiriwa tuu ! Jee kuna njia ya kuwa linda hawo professionals wasizulumiwe kiana ?