Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hivi mkataba ulioipa ushindi DOWANS dhidi ya Tanesco ulikuwa halali.Na je ni haki kuilipa DOWANS Bil 185 za walala hoi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mawakili wampinga Dk Shein kuteua majaji Send to a friend Wednesday, 01 December 2010 22:29 0diggsdigg Rais wa Zanzibar,Dk.Mohamed Ali Shein Salma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sina utaalamu wowote na sheria na ndio maana natatizwa na hili neno: Makosa ya Jinai yanakuwaje/yanatofautianaje na makosa ya kawaida. Nawasilisha!!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mie nimechaguliwa OUT kwa ajili ya degree LLB academic year 2010/11. Ninaishi Dar na ninafanya kazi. Ninaomba kupitia hii forum kama kuna mwanaJF anayesoma LLB mwaka wa kwanza, chuo chochote, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We`ll challenge Z`bar constitution - Chadema By Judica Tarimo 29th November 2010 Email Print Comments...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesi ya CHADEMA kupinga matokeo Desemba 20 Na Suleiman Abeid, Shinyanga HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ufisadi Ardhi wamtisha Waziri Anna Tibaijuka • Ridhiwan, Sofia, Mwanri, Dk. Kimei wafikishwa TAKUKURU na Ratifa Baranyikwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tendwa awaelimishe polisi kuhusu haki za vyama Send to a friend Tuesday, 30 November 2010 20:41 0diggsdigg John Tendwa. Siku kadhaa baada ya Jeshi la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vigogo Dodoma wanaswa kwa tuhuma za ufisadi Send to a friend Tuesday, 30 November 2010 21:19 0diggsdigg Habel Chidawali, Dodoma JESHI la Polisi mkoani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi nani ni mkubwa na anayefuatia kiuongozi maana nimeona jeshi letu uongozi unabadilika kila kukicha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Former Mukono district police commander, James Peter Aurien, could have gone off the hook at his initial murder trial, but not after the file was recalled and murder charges against him...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina swali naomba mnisaidie, Hebu chukulia unatoka Dar kwenda Arusha: kufika Chalinze ukasimamishwa na trafki akagundua kuwa huna Fire Ext, ukalipishwa faini kwa hilo kosa, je ukikutana na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gazeti la Mwanahalisi limeripoti ya kuwa Dr. Slaa kumshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mypa................ Nionavyo hii sasa ni purukshani ya mfa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamu wa Rais, Dr. Ghalib Bilal Wakati akiongea kwenye maazimisho/ sherehe/ sala ya Idd El Hajj ya kitaifa kwenye Msikiti wa Simbambali uliopo wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam tarehe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wabunge wa CHADEMA Mara baada ya Rais kuanza kuhutubia Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano tarehe 18/11/2010 wabunge wa Chadema ambao wanaunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni walitoka nje ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya CCM Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea Uspika kwa tiketi ya CCM, iliamua kutoa upendeleo kwa wanawake kwenye kiti hicho na kuwaengua wanaume wote akiwemo Mhe. Sitta na Chenge...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete Rais kwa mujibu wa katiba hii anatakiwa kufanya mambo kwa maslahi ya nchi na ustawi wa wananchi. Mambo hayo yasipofanyika ni sawa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JK kuzuia/ kuchelewesha huduma kwenye majimbo ya upinzani Kama JK alivyowaambiwa wabunge wa Chadema wakati akizindua Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano kuwa ndiye Rais na watatoka, watarudi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tumeona jinsi Rais na Makamu wa Rais pia Spika wakivunja baadhi ya masharti ya katiba yetu licha ya kula kiapo cha kuilinda, kuitetea, kuifuata, kuitii na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu,......... niko katika kukamilsha article moja ya kupublish kwenye international journals ........................ nimeperuzi tovuti ya bunge nimekuta sheria nyingi sana pale za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom