Publishing leaked confidential data. What does our law say | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Publishing leaked confidential data. What does our law say

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtazamaji, Dec 11, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Swali/ Hoja hii imejniia baada ya kufatilia Julian Asange wa wikileaks kuhusu taarifa za siri mabalozi wa USA walizokuwa wakiwasilisha kwa serikali yao .

  Kuna mtu aliiba au kufanikiwa kuzipata hizo taaarifa. Website ya Wikileaks imefanya kuzichapisha tu.

  Assume Julian Asange angekuwa mtanzania yuko tanzania ka publish leaked dcument serikali ya tanzania

  • kama wakili wa serikali angeshtakiwa kwa kosa gani . Hukumu yake ni nini. ( it can be more helpful if refer ki/vi fungu vya katiba kama uanvijua eg espionage act,etc)

  • Kama wakili wa Asange ungemtetea kwa hoja gani.

  Nawasilisha kwa kuelimishwa.
   
 2. j

  julius Senior Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mimi sitaongera hilo but all issue behind wikleaks is the carefull palnned ya kuchange thw world politscs to go in another side the issue ya cable kuleakage its just imaginations we unathink kua assanage atafungwa see how the politics game ilivyo dirt,, mimi nathani nimtindo tu wakuanzia siasa nyingine na kukamilisha mipango wa mabosi wa dunia hii,,,,,,,,,,,,the leakage has been plan for the interest ya mabosi hao wa dunia.....
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Learned brothers and sisters nielimisheni tafadhali
   
Loading...