Jamani naombeni msaada wa kisheria

Omtata

Member
Nov 18, 2010
49
5
Imekuwa ni tabia ya muda mrefu zaidi ya miezi nane ya muajiri wangu kunicheleweshea mshahara naombeni msaada wenu nichukue hatua gani?
 
Mshahara ni moja ya haki zako msingi katika ajira(statutory right). Hivyo kama mwajiri wako hakulipu basi chukua hatua ya kisheria kwa kupeleka lalamiko lako CMA(Commission of Mediation and Arbitration). Aakulipa tu. Ushauri wa Buchanan sikubaliani nao sana kwa sababu Issue ni kutolipwa mshahara ambao ni haki msingi ya kila mfanyakazi wa aina yoyote ile. It is implied that there was already a contract whether oral or written.Huwezi kuanza kufanya kazi fulani ya mtu bila makubaliano ya pande zote husika.
 
Back
Top Bottom