Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari zenu Wadau, Kama unatembelea jukwaa hili la sheria, ina maanisha tayari unafahamu umuhimu wa sheria katika maisha yako ya kila siku. Lakini ukitaka kujifunza sheria program zilizopo...
5 Reactions
48 Replies
10K Views
habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Wasalaam ndugu zangu, iko hivi Nilipata Kazi taasisi moja hapa Dar nikiwa mkoani mwanzoni mwa mwezi huu wa 12. Kutokana na kutokuwa na ndugu ambaye ningeweza kufikia kwake ilibidi nitafute chumba...
1 Reactions
10 Replies
890 Views
Wanasheria wetu naomba Ufafanuzi katika hili Jambo.Binafsi pamoja na Elimu ndogo niliyonayo na uzoefu wa matukio yaliyowahi kutokea naamini Mbunge anapofukuzwa Uanachama anakuwa amepoteza Sifa ya...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje? Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi...
0 Reactions
8 Replies
938 Views
Ndugu wadau Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Naomba niende moja kwa moja kwenye shida yangu, tarehe 24/2/2020 Kama familia tulipata msiba wa kuondokewa na MZEE wetu aliyetangulia mbele za...
15 Reactions
150 Replies
15K Views
Kwa wanafunzi na wale wanaoanza practice ya criminal, hizi zinatumiwa kama checklist kwenye trial Subordinate na High Court na appeals High Court na Court of Appeal. unaweza kuokota kitu.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana nilikuwa sehemu vijana walifanikiwa kumalizana mizozo ya viwanja Sasa wamekubaliana kugawana kiwanja cha mama yao Chenye hati moja Wanataka msaada jinsi ya kutenganisha hati moja ziwe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na...
0 Reactions
11 Replies
788 Views
Wakuu najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu wengi sana. Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?. Je, cheti cha kuzaliwa ni nyaraka mmojawapo ya kuthibutisha urai wa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zangu. Niende Moja kwa mojakwenye mada Ikiwa wazazi wameachana na watoto wakawa wanaishi na mama kwa kuwa baba ameoa mke mwingine,je ni sahihi mama wa watoto kukatazwa kujua watoto...
1 Reactions
28 Replies
998 Views
Maana ya ndoa Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Aina za ndoa Kuna aina mbili za...
8 Reactions
1K Replies
287K Views
Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari🖐 Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea. Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was...
1 Reactions
2 Replies
576 Views
Kuna jamaa aliniuzia ardhi miaka kama 14 iliyopita, Mimi nikaendelea kutumia, mwaka huu wameibuka ndugu zake wanasema ardhi ile ni ya urithi(familia) ambayo baba yao alirithi toka babu yao hivyo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom