Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu. Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia...
25 Reactions
283 Replies
16K Views
Mm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi. Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama...
11 Reactions
75 Replies
2K Views
Habari, Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais. Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui. Na Mwajiri hakufuata kanuni za...
1 Reactions
1 Replies
585 Views
Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
1 Reactions
8 Replies
735 Views
Namaanisha mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 14 Ni kidato Cha pili! Mwanafunzi huyu anatuhumiwa kumpa mimba Mwanafunzi wa kike kidato Cha kwanza miaka 13 ya umri Mwelekeo ni kwamba wote...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu kabisa tunafanya biashara moja kwa hiyo huwa tuna aminiana anaweza kunipa mzigo niende kumuuzia au kumnunulia na pia mimi nampa pia Mwaka jana mwezi wa 5 nikampa mzigo wa kama M6...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mimi ni fundi ujenzi kuna jamaa namdai yeye ni fundi aliniuzia kazi sasa kwenye kunilipa ndio shida hatujaandikiana ila ushaidi wa kawaida kua namdai upo sasa naomba kujua kama naweza kumshitaki...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi. Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible! Tuwekeeni...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 1 Kumekuwa na maswali mengi kuhusu mgawanyo wa mali za familia kwa wanandoa baada ya kuachana. Makala hii inajibu maswali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
📌 UWT YAJIKITA KATIKA KUTOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANAWAKE NCHINI. 📍Dodoma Mwenyekiti wa UWT Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) ameielekeza kamati ya Haki na Sheria ya UWT inayoongozwa na Mhe. Zainab...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA 📍Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Judiciary and Stakeholders' Role in Strengthening the Integrated Criminal Justice System Introduction For over two decades, the judiciary has marked Law Day with significant implications...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Boss wangu alinijulisha kwa mdomo kwamba natakiwa kuwa rentrenched kwa hiyo HR watanijulisha Zaidi. Siku mbili baadae, nikapewa Termination Letter ambayo inasema ajira yangu itakoma baada ya siku...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari? Kuna changamoto niliipata na kampuni moja ya ukopeshaji mtandaoni.. Nilikopa kwao pesa 21/01- Na makubariano yalikuwa niwalipe siku ya tarehe 27. Ilikuwa siku ya tarehe 27 nikapokea simu...
4 Reactions
14 Replies
921 Views
Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi. Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia. Kipi cha...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge...
2 Reactions
16 Replies
941 Views
Back
Top Bottom