maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,344
Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007.
Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na watoto sita lakini mimi nililiuza shamba hilo kimya kimya bila kumshirikisha mtu yeyote. Je ni lazima tugawane mali hiyo?
Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na watoto sita lakini mimi nililiuza shamba hilo kimya kimya bila kumshirikisha mtu yeyote. Je ni lazima tugawane mali hiyo?