Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya...
Tunapoongelea Wanandoa kugawana mali tunaongelea Talaka. Hakuna Mgawanyo wa Mali zilizotokana na Ndoa bila ya kuwepo talaka.
Kisheria Talaka inapotoka, hatua inayofuata ni mgawanyo wa Mali na...
Je kama hujapewa taarifa ya utwaajwi wa ardhi yako na hata taarifa hiyo ya utwaaji haipo kwenye gazeti la serikali, je hapo Kuna utwaaji? Je utwaaji huo ni halali? Je wapi nikalalamike? Je nani wa...
Ninaomba mnifahamishe utaratibu wa unyonyeshaji mtoto kwa mfanyakaz
Inafahamika mfanya kaz amepewa masaa mawili ya kunyonyesha. Je masaa hayo huanza baada ya muda gan wa kaz?? Au unajipangia wew...
Naomba kufahamu kuhusu hii adhabu na mahali inapotekelezwa mtu anapohukumiwa?
Pia ni makosa yapi ambayo mtu akiyafanya hupelekea kupewa hii adhabu?
Nani anatumika kuchapa viboko hivyo na hutumia...
I kindly request for the interpretation on application of Rule 90(5)CAT Rules of 2019 that read as;
..."Subject to the provisions of subrule (1), the Registrar shall ensure a copy of...
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation...
Habari Waheshimiwa,
Naomba kuuliza kama ni lazima kwa sheria za kazi Tanzania kwa employer kukupa a written employment contract unapoanza kazi. Na kama ni lazima, na employer...
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo[/QUOTE]
Shemeji yangu alichukua mkataba wa pikipiki dada yake akamdhamini baada ya muda miezi sita ikatokea ajari ikapelekea kifo cha abiria pikipiki ikakamatwa kituoni shemeji yangu, ambae ndiye aliepewa...
Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi...
Wakuu kuna mwanamke nilizaa nae mwaka 2007, wakati nikiwa na mke wangu, na sikuwai kuishi nae zaidi ya kuwa nilikuwa naenda alikopanga mara moja moja, na mara nyingine akishindwa kodi ya nyumba...
Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni.
Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie...
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana watu wakilalamika wanawake wao kuchepuka nje ndoa na kupelekea ndoa kuvunjika.
Mimi ni kijana ambae nina mpango wa kuoa huko mbeleni (Sio leo...
Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo...
Nimekuwa nikifuatilia hukumu anazotoa judge Matuma. Ni Judge wa haki with higher power of reasoning. Judgment zake zinatokana na use higher mental faculties in dealing with the law, and evidence...
Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani...
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km...
Naomba kufamaham kuwa kisheria inakuwa vp km afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo wangu kutoka Benki na Benki hawajaniwekea fedha ktk akaunti.
Je, naweza nikawashtaki na wakapatikana na hatia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.