Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Boss wangu alinijulisha kwa mdomo kwamba natakiwa kuwa rentrenched kwa hiyo HR watanijulisha Zaidi. Siku mbili baadae, nikapewa Termination Letter ambayo inasema ajira yangu itakoma baada ya siku...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari? Kuna changamoto niliipata na kampuni moja ya ukopeshaji mtandaoni.. Nilikopa kwao pesa 21/01- Na makubariano yalikuwa niwalipe siku ya tarehe 27. Ilikuwa siku ya tarehe 27 nikapokea simu...
4 Reactions
14 Replies
921 Views
Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi. Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia. Kipi cha...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge...
2 Reactions
16 Replies
941 Views
Sheria imeweka kinga maalum za msingi ili kuhakikisha mazingira ya kazi yanakuwa ya staha na heshima kwa kukataza ajira ya mtoto, ajira ya shuruti na kupiga marufuku ubaguzi katika ajira. Makatazo...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Mim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu. Siku ya kwanza alitoa one M. Siku ya...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari wakuu, Samahani naomba msaada kwa yoyote ambaye ana connection na watu wa idara ya uhasibu mahakama ya mirathi temeke aweze kunisaidia mawasiliano. Mama yetu mzazi alifariki mwaka Jana...
0 Reactions
2 Replies
432 Views
Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu. Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya...
2 Reactions
83 Replies
24K Views
Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii, Kwa kipindi ambacho...
1 Reactions
5 Replies
711 Views
Habari zenu ndugu humu ndani.Naomba ushauri. Nina kesi tangu August 2023 hapa arusha. Sasa kesi haikuwahi kufikishwa mahakamani ipo polisi mpaka leo. Jumatatu niliitwa na askari anayehusika na...
1 Reactions
9 Replies
724 Views
Kwa wananchi wa Tanzania, serikali, na wadau wote: Ni kwa wasiwasi mkubwa naandika juu ya kukithiri kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya jeshi la polisi nchini Tanzania. Ingawa kwa...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Salam ndugu zangu, Ni mwaka wa pili Sasa toka niuziwe KIWANJA mbele ya serikali ya mtaa/ Kijiji Naomba msaada au ushauri wa namna ya kupata Saini ya mahaka au HATI MILIKI . Natanguliza shukrani zangu
2 Reactions
8 Replies
748 Views
Watu wa jukwaa hili habari zenu., Nimepitia comments zenu nyinginyingi nashkuru sana..! mjadala huu naomba ufungwe mod.,
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Wabobezi naomba msaada. Nina Shamba ambalo namiliki kihalali. Lakini ninashindwa kuliendeleza kwa kuwa Kila siku wafugaji wanachungia ng'ombe humo. Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana sana kwani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
habari waungwana? mwezi wa 12/2023 mama ang alisafiri Musoma kwenda Chato Geita, alipofika mwanza stand akagundua kua tayari kapoteza pochi yake ambayo ndani ilikuwa na kadi ya mpiga kura, nida ...
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha. Kuna kazi fulani...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
DHANA YA NDOA (PRESUMPTION OF MARRIAGE) Ndugu msomaji, unaweza kuwa na maswali mengi juu ya wapenzi (mwanamke na mwanaume) wanaoishi pamoja kwa kipindi fulani au hata muda mrefu zaidi pasipo kuwa...
9 Reactions
45 Replies
19K Views
Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
1 Reactions
13 Replies
699 Views
Back
Top Bottom