Kilimi Senior Member Joined Jan 11, 2023 Posts 162 Reaction score 270 Dec 11, 2023 #1 Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje ushauri naomba. NOTE sijamfukuza mawenge yake
Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje ushauri naomba. NOTE sijamfukuza mawenge yake
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,287 Reaction score 6,186 Dec 23, 2023 #2 Mkuu ngoja nikutag Kuna uzi wa haya Mambo ya ndoa umesha eleza kila kitu